Music Video

Diamond Platnumz ft Koffi Olomide - Achii (Official Music Video)
Watch Diamond Platnumz ft Koffi Olomide - Achii (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Koffi Olomidé
Koffi Olomidé
Vocals
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Antoine Christophe Agbepa Mumba
Antoine Christophe Agbepa Mumba
Songwriter
Nasibu Abdul Juma Issaack
Nasibu Abdul Juma Issaack
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

[Intro]
Eeh! Wanewa wanaingia (Le general Dangote)
Ooh! Mwenye mji wamevamia (Le grand Mopao)
Eeh! Wanewa wanaingia (Mama Dangote)
Ooh! Mwenye mji wamevamia
[Verse 1]
Ona mpaka leo oh majibu sipati
Yaani mpaka leo, nimebaki katikati (Didi Santos)
Rafiki, rafiki, rafiki wa kweli ni nani?
Rafiki, rafiki ni ndugu ama jirani
Unaye-party naye kwa starehe, wakulia nawe msibani
Wa kukosa akuongeze, ama yule wa nipe nami
[PreChorus]
(Mwenzenu nimegoma) Rafiki yangu pesa, rafiki yangu pesa
(Ricardo Momo) Rafiki yangu pesa, rafiki yangu pesa
(Don Fumbwe) Rafiki yangu pesa, rafiki yangu pesa
[Chorus]
Asa achi achi (Achii) Chibu dangote (Achii)
Jamaa achi, achii (Achii) na Chidi Benzi (Achii)
Asa achi achi (Achii) Chibu wa ghetto (Achii)
[Bridge]
Achichichii a chichichii (La prezident Mama Samia)
Ahichichii a chichichii, achichichii (Eeeh) a chi, chi
Atikitiki akiki, atikitiki akiki
Doboro kii ah (Doboro kii)
[Bridge]
Dance makambo, dance bidena, dance atombotombo
Uu sepeta zinda (Zinda), uuu sepeta zinda (Zinda)
Mama lia bangondo lia (Lia) lia bangondo lia (Lia)
Mama lia bangondo lia (Lia) lia bangondo lia (Lia)
[Bridge]
Kiwangooo! (Kiwango babu)
[PreChorus]
Niache nina furaha leo, nataka ninywe niutwike
Niache nina moody leo, nataka niparty nipatike
Niache nina furaha leo, nataka ninywe niutwike
[Chorus]
Waambie marafiki (Mtanibeba mgongoni)
Ooh mimi leo (Mtanibeba mgongoni)
Agha wanangu (Mtanibeba mgongoni)
Aii mimi hapa (Mtanibeba mgongoni)
Yaani mwenzenu (Mtanibeba mgongoni)
Nasema leo (Mtanibeba mgongoni)
[Bridge]
Pusa baby pusa (Pusa)
Yaka (Yaka) yaka (Yaka)
Yakalata (Yaka) yaka (Yaka) yaka moa (Yaka)
Yaka (Yaka) we musimbe te (Yaka) yaka (Yaka) Babu Talake (Yaka)
Yaka (Yaka) yakako (Yaka) yaka (Yaka)
Raise Mapao (Ee!) raise Diamond (Aah!)
Yakamwa (Yaka) yaka (Yaka)
Yakalata (Yaka) yaka (Yaka)
Yaakusimbate (Yaka) yaka (Yaka)
Yakutalaka (Yaka) yaka (Yaka)
[Chorus]
Ee mamera nyu papee (Miee) mama sethera (Miee)
Written by: Antoine Christophe Agbepa Mumba, Nasibu Abdul Juma Issaack, Siraju Amani
instagramSharePathic_arrow_out