Music Video

Diamond Platnumz Ft Fally Ipupa - Inama (Official Video)
Watch Diamond Platnumz Ft Fally Ipupa - Inama (Official Video) on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Fally Ipupa
Fally Ipupa
Vocals
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Fally Ipupa
Fally Ipupa
Composer
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Siraju Hamisi Amani
Siraju Hamisi Amani
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Kukudekeza kama mtoto furaha unafurahia
Alafu geuka moto machozi unalia
Mwembamba mwenene, uwe na pesa kama Dangote (Dangote)
Penzi halijali umasikini, laweza penda mtu yoyote
[Verse 2]
Penzi sio somo, ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize afukuzishe Mwarabu
Penzi oyoyo limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni, naishia kuwalike Insta
[PreChorus]
Hivo asiyekupenda (Achana naye)
Anayekupenda (Pendana naye)
Mambo stress ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi, kama songi limekolea
[Chorus]
Asa inama, ebu pinda mgongo (Ooh ngo-ngo-ngo)
Oya inama (Inama beiby), basi pinda mgongo (Ngo-ngo-ngo-ngo-ngo)
Asa inama (Inama beiby), ebu pinda mgongo
(Kama tungi limepoza) Oya inama basi pinda mgongo
[Verse 3]
Toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins
Ba cadeaux, ba je t'aime tout le temps
Mawé eleka wapi bébé na nga aza présente
Soucis eleka wapi? Chérie na ngai azali ehh
Tango nionso alobelelaka nga je t'aime
[Verse 4]
Baloba baseka oh, baloba baseka oh nga nako lembe teh!
Baloba baseka oh, baloba baseka oh nga nako lembe teh!
[PreChorus]
Chérie na ngai aza kitoko, Chérie na ngai aza elengi trop
Chérie na ngai aza kitoko, Chérie na ngai aza elengi trop
Parfois l'amour est compliqué mais, Chérie à moi est toujours romantique
[Chorus]
Asa inama (Oh-oh-oh), ebu pinda mgongo (Nakupenda mtoto)
Oya inama (Bana inama) basi pinda mgongo (Bébé na ngai eh)
Asa inama (Na lela oh-oh-oh-oh), ebu pinda mgongo (Ooh mgongo), oya inama basi pinda mgo
[Outro]
(Asa nionyeshe unanyonga je) Nyonga, nyonga kibasikeli, nyonga
Kaa kibasikeli, nyonga kama kibasikeli
(Ah kiuno kifanye pedeli) Nyonga, nyonga kibasikeli, (Ah nyongaa) nyonga
Kaa kibasikeli, nyonga kama kibasikeli
(Nyonga, na kupinda mgongo) Nyonga, nyonga kibasikeli, nyonga
Kaa kibasikeli, nyonga kama kibasikeli
[Outro]
(Nakucheza ka goma la kashikwa midadi) Analishare-lishare
Analishare lishare, (Analilili), analishare-lishare
(Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi) Analishare-lishare
(Yuko bwi), analishare-lishare
(Silali), analishare-lishare
(Ooh) analishare-lishare
Written by: Diamond Platnumz, Fally Ipupa
instagramSharePathic_arrow_out