Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Essence of Worship
Essence of Worship
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Essence of Worship
Essence of Worship
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Essence of Worship
Essence of Worship
Producer

Lyrics

[Chorus]
Shangilia
Piga kelele kwa Bwana
Shangilia
(Msifu Bwana) Msifu Bwana wa mabwana
(Shangilia) Shangilia
(Piga kelele) Piga kelele kwa Bwana
(Shangilia) Shangilia
(Msifu Bwana) msifu Bwana wa mabwana
[Chorus]
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
[Chorus]
(Shangilia) Shangilia
Piga kelele kwa Bwana
Shangilia
(Msifu Bwana) Msifu Bwana wa mabwana
(Shangilia) Shangilia
(Piga kelele) piga kelele kwa Bwana
(Shangilia) Shangilia
(Msifu Bwana) msifu Bwana wa mabwana
[Chorus]
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
[Verse 1]
Eeh Bwana, jina lako la milele
Kumbukumbu la vizazi hata vizazi
Eeh Bwana, jina lako la milele
Kumbukumbu la vizazi hata vizazi
[Verse 2]
Mataifa yote msifu Bwana
Enyi watu wote mhimidini
Mataifa yote msifu Bwana
Enyi watu wote mhimidini
[Verse 3]
Msifuni kwa mfumo baragumu
Msifuni kwa kinanda na kinumbi
Msifuni kwa matari na kucheza
Kila mwenye pumzi na msifu Bwana
[Chorus]
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
[Chorus]
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
[Chorus]
(Shangilia) Shangilia
Piga kelele kwa Bwana
Shangilia
(Msifu Bwana) Msifu Bwana wa mabwana
(Shangilia) Shangilia
(Piga kelele) Piga kelele kwa Bwana
(Shangilia) Shangilia
Msifu Bwana wa mabwana
[Chorus]
(Shangilia) Shangilia
Piga kelele kwa Bwana
Shangilia
(Msifu Bwana) msifu Bwana wa mabwana
(Shangilia) Shangilia
Piga kelele kwa Bwana
(Shangilia) Shangilia
Msifu Bwana wa mabwana
[Chorus]
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukuka
[Outro]
(Shangilia) Shangilia
Written by: Essence of Worship
instagramSharePathic_arrow_out