Lyrics

[Intro]
Oohuo ooh, ooh mmh, eh-eh, eeh
Oohuo ooh, ooh mmh
[Verse 1]
Wala siiyoni sababu yakufanya nisitambe
Kukumiliki naona raha tu acha hadharani nijigambe
Penzi letu sio daladala usiruhusu wengine walipande
Kukupenda ntakupenda daima siwezi ruhusu nikumwage eeh
[Verse 2]
Me mwenzako ntaicheza taikondo ntapigana kabisa aah
Na wewe wajiweke kando vita kuiepusha mmh
Niko tayari kujitoa chambo mtu akikugusa aah
Ntakulinda kama mboni ya jicho lisije kupofuka eeh
[PreChorus]
Moyo wangu me ushauteka kama kwenye chupa ushaniweka
Siwajibu nawalia buyu na umbea wao wakinisemesha eeh
Moyo wangu me ushauteka kama kwenye chupa ushaniweka
Siwajibu nawalia buyu na umbea wao wakinisemesha eeh
[Chorus]
Nikikooa tu (Are you okay), naulizwa (Are you okay)
Mmh nikinuna (Are you okay), namjibu niko fine, fine
Nikikooa tu (Are you okay), niki aah (Are you okay)
Mmh nikinuna (Are you okay), namjibu niko fine, fine
[Verse 3]
Mwezako me kubadili gia nisikudanganye siwezi, siwezi
Apo nimeng'ang'ania ondoa shaka nakupenda kishenzi
Ukinita B my dear nafuraiaagaa
Penzi letu vina saba limetimiaagaa
[Verse 4]
Aki ya Mungu sikuachi ata waseme namegewa (Mege)
Acha waunde kamati me peke yangu ndo nakuelewa (Beibe)
Sitaki ngorowanje ya maneno me kuletewa (Upambe)
Ya kwenu yanawashinda ya kwetu wapi mtayawezea, eeh
[PreChorus]
Moyo wangu me ushauteka, kama kwenye chupa ushaniweka
Siwajibu nawalia buyu na umbea wao wakinisemesha eeh
Moyo wangu me ushauteka, kama kwenye chupa ushaniweka
Siwajibu nawalia buyu na umbea wao wakinisemesha, eeh
[Chorus]
Nikikooa tu (Are you okay), naulizwa (Are you okay)
Mmh nikinuna (Are you okay), namjibu niko fine, fine
Nikikooa tu (Are you okay), niki aah (Are you okay)
Mmh nikinuna (Are you okay), namjibu niko fine, fine
Written by: Bakari Katuti
instagramSharePathic_arrow_out