Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
KODONGKLAN
KODONGKLAN
Performer
Coster Ojwang
Coster Ojwang
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Fidel Omusula
Fidel Omusula
Songwriter
Mordecai Kimeu
Mordecai Kimeu
Songwriter
Julius Okelo McRymboh
Julius Okelo McRymboh
Songwriter
Coster Ojwang
Coster Ojwang
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
SOFRESH
SOFRESH
Producer
Trevor Magak
Trevor Magak
Mixing Engineer

Lyrics

Everyone bringika to the floor
When the beat drop low
Move to the riddim like you are a python
Selector pull it up ukicheza na tempo
Kwanza zangu zimenice ni erokamano
Sisikii
Ombulu koro chako mienjo
Nyako moro e kona koro aneno chako gila
Atatii
Koka mukhombero namuodo
Ng’ama ti nekone ni Jamach Piere Tindo
Onego ine chumbi nyiri tinde donge ilara
Nyiri beyobeyo hapa kule wamejaza
Wanafanya steam zinashuka zinapanda
(Eeeeeh makarena)
Pre hook
Bash tumefika
Na drinks zimeshika
Mashore wamejaza dance floor
Wengine juu ya speaker
Wengine zalipuka
Wengine wanashika more
Hook
Every gyal a whine
Every gyal a whine
Kodong’
Zunguka zunguka ukiringa
In your Kodong’
Bend down touch your toe ukitiktok
Kodong’
Zunguka zunguka ukiringa in your
Kodong’
Shawry wanna go dong’
Akikata kwenye floor kila mtu macho kodo
Akitingisha msondo
Stingo ziko deadly toto anawasha moto
Chilili bam Chilili bam bam chile eh
Nimekwom nimepullop na kirende
Foundation weka samaki na sembe
Itadonjo wapende wasipende eh
Tunawakata kama wembe
Wakiumwa tunawamezesha tembe eh
Na wakimea pembe
Twazing’oa na mashoka na majembe
Pre hook
Bash tumefika
Na drinks zimeshika
Mashore wamejaza dance floor
Wengine juu ya speaker
Wengine zalipuka
Wengine wanashika more
Hook
Every gyal a whine
Every gyal a whine
Kodong’
Zunguka zunguka ukiringa
In your Kodong’
Bend down touch your toe ukitiktok
Kodong’
Zunguka zunguka ukiringa in your
Kodong’
Ni magizani na pregame ishakatika
Tume arrive luku mbichi tushapiga
Niko divai na makoro zimeshika
Msupa wako akikaa mbaya ye ndio mboga mimi sima
Informer nimekuja na warembo wamebeba
Wa na boom boom loud
Usicheze na mamorio wanataka tu kuzichafua meza
Wape vidonge vyao
When the man a come around dem haffi know this is a killa
Tunachanganya changanya tequila na masativa
She Drop and give me whine chora saba me ndio teacher
Pilka pilka hii ndio mida tunazoza choma picha
Pre hook
Bash tumefika
Na drinks zimeshika
Mashore wamejaza dance floor
Wengine juu ya speaker
Wengine zalipuka
Wengine wanashika more
Hook
Every gyal a whine
Every gyal a whine
Kodong’
Zunguka zunguka ukiringa
In your Kodong’
Bend down touch your toe ukitiktok
Kodong’
Zunguka zunguka ukiringa in your
Kodong’
Kela koni
Duoka koni
Jangoma otimo siling
To welo chalo loo
Amanyo mali safi
Jaber puothe tin
Come to the daddy the don de dada
When i pull up on a yard
Dey run dey scatter
Vibe zimeshika nare
Toka mchana hadi ngware
Kwanza tukiwasha ngwelo
Tunafukuza mapepo
Uuuuuwwwoooouuu. Wooooo
Hide and seek
Tuko kwa ma corridor
Watu mbili mbili
Magoshodo na ma moriooo
Pre hook
Bash tumefika
Na drinks zimeshika
Mashore wamejaza dance floor
Wengine juu ya speaker
Wengine zalipuka
Wengine wanashika more
Hook
Every gyal a whine
Every gyal a whine
Kodong’
Zunguka zunguka ukiringa
In your Kodong’
Bend down touch your toe ukitiktok
Kodong’
Zunguka zunguka ukiringa in your
Kodong’
Written by: Coster Ojwang, Fidel Omusula, Julius Okelo McRymboh, Mordecai Kimeu
instagramSharePathic_arrow_out