Top Songs By Zee Cute
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zee Cute
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Fredrick Richard Njemu
Songwriter
Zaina Haji Mchombora
Songwriter
Material Bulls
Songwriter
Drey Tunes
Songwriter
Fanuel Phabian Peter
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Drey Tunes
Producer
Material Buffalo
Producer
O.Righty
Recording Engineer
The Mixkiller
Mixing Engineer
Gpea
Executive Producer
Lyrics
[Intro]
Yeah
Oh oh huh
(Buffalo)
(Spana)
[Verse 1]
Can you feel what I\'m telling you (you you you)
Bila we ntawezaje
I\'ll be there when you call my line
Nipog8e nije kukuona
I\'ll be all alone for your only love
Let me show you how to love you
I\'m blinded by you
Can\'t see clear when you go
Never play you like dice
Wanna show you paradise
Can you be my boyfriend, my boyfriend
My best friend
Be my baby
Can you be my boyfriend, my boyfriend
My best friend
Be my baby
[Chorus]
Moyo ndio unavyotamka tamka
Moyo ndio unavyotamka
Moyo ndio unavyotamka,
Nakupenda
Moyo ndio unavyotamka tamka (Eh eeh)
Moyo ndio unavyotamka (Moyo oh)
Moyo ndio unavyotamka,(Moyo moyo)
Nakupenda
(O.Righty)
[Verse 2]
Unaonekana kweli umekwama
Yaani ni ukweli umezama
Ila tatizo mi nina alama
Nikiopewa na watu kama wewe
Kuutilia moyo gharama
Na ni kwa wengi nayaona
Wanaopendana wakigombana
Inakuwa ninvita ya milele
Na sio kwamba sijawahi kudate
Sio kama mi mwanaume feki
Najichunga sana naziogopa stresi
Mapenzi yanauma mtu akichiti
(Be my baby)
[Chorus]
Moyo ndio unavyotamka tamka
Moyo ndio unavyotamka
Moyo ndio unavyotamka,
Nakupenda
Siyaafiki unayoyatamka tamka
Hayo unayoyatamka
Hayo unayoyatamka sijapenda
[Outro]
Na sio kwamba sijawahi kudate
Sio kama mi mwanaume feki
Najichunga sana naziogopa stresi
Mapenzi yanauma mtu akichiti
(Spana)
(The Mixkiller)
Written by: Drey Tunes, Fanuel Phabian Peter, Fredrick Richard Njemu, Material Bulls, Zaina Haji Mchombora