Top Songs By ISSAI IBUNGU
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
ISSAI IBUNGU
Performer
COMPOSITION & LYRICS
ISSAI IBUNGU
Songwriter
Lyrics
Najuta
Ni kinda langu ni lenye rangi ya chungwa
Maringo yake na mwendo vinanichosha
Nachoka kabisa
#instrumental
Kinacho nishinda eeh
Nyumbani kwao wamezidiya ukali
Nifanye nini ili wapate tulia nachoka kabisa
#instrumental
Najuta
Ni kinda langu ni lenye rangi ya chungwa
Maringo yake na mwendo vinanichosha
Nachoka kabisa
#instrumental
Kinacho nishinda eeh
Nyumbani kwao wamezidiya ukali
Nifanye nini ili wapate tulia nachoka kabisa
#instrumental
Najuta
Ni kinda langu ni lenye rangi ya chungwa
Maringo yake na mwendo vinanichosha
nachoka kabisa
#instrumental
Kinacho nishinda eeh
Nyumbani kwao wamezidiya ukali
Nifanye nini ili wapate tulia nachoka kabisa
#instrumental
Ooh usivunje ahadi, uliyoniahid dada
(Poa kaka mimi ni bado msichana)
(Tena bado sijamaliza masomo)
(Nifanye nini kukuacha siwezie)
Ooh nakonda eh, nateswa eeh
Nifanye nini mimi?
(Pole kaka kipenzi cha roho yangu we)
(Ahadi yetu haijaweza vunjika)
(Fika nyumbani kwa wazazi wangu we)
Ooh usivunje ahadi, uliyoniahidi dada
(Poa kaka mimi ni bado msichana)
(Tena bado sijamaliza masomo)
(Nifanye nini kukuacha siwezie!)
Ooh nakonda eh, nateswa eeh
Nifanye nini mimi?
(Wewe kaka kipenzi cha roho yangue)
Ahadi yetu haijaweza vunjika)
(Fika nyumbani kwa wazazi waang'..)
#instrumental
Sikia maneno..!
Sikia butamu..!
Sikia maneno..!
Sikia butamu..!
Maneno
Maneno
Maneno ya serengete
Maneno
Maneno
Maneno ya serengete
Sikia maneno..!
Sikia butamu..!
Sikia maneno..!
Sikia butamu..!
Maneno
Maneno
Maneno ya serengete
Maneno
Maneno
Maneno ya serengete
Yeh, yeh-yeh
Woh, uwoh-woh!
Yeh, yeh-yeh
Woh, uwoh-woh!
Yeh, yeh-yeh
Woh, uwoh-woh! (Ai-yooh…)
Chukua, chukua
Chukua, chukua (yote yako)
Chukua, chukua
Chukua, (yote yako)
Chukua, chukua
Chukua, (yote yako)
Chukua, (Serengeti) chukua,
Chukua, (yote yako)
Chukua, (Serengeti) chukua
Chukua, (yote yako)
#instrumental
Vigelegele ndio furaha jamani eh-eeh
Butamu wa ngoma nikushangilia jamani eh-eeh
Chereko chereko na mayowe jamani (ndio furaha) eh-eeh
Makofi mengi na vibwebwe jamani ndio furaha (tokea)
Kutokea, westeni
Kwa mwingi (wakati)
Kwa wingi (wanapo..)
Njoo uone (furaha) furaha
#instrumental
Vigelegele ndio furaha jamani eh-eh-eeh
Butamu wa ngoma nikushangilia jamani eh-eh-eeh
Chereko chereko na mayowe jamani eh-eh-eeh
Makofi mengi na vibwebwe jamani ndio furaha (tokea)
Kutokea, westeni
Kwa mwingi (wakati)
Kwa wingi (wakati..)
Njoo uone (furaha) furaha
#instrumental
Heheheh
Sabosooo
#instrumental
Chukua, chukua,
Chukua, (yote yako)
Chukua, chukua
Chukua, (yote yako)
Chukua, chukua
Chukua, (yote yako)
Chukua, chukua
Chukua, (yote yako)
Chukua, chukua
Chukua, (yote yako)
Chukua, chukua
Chukua, (yote yako)
Written by: ISSAI IBUNGU