Featured In

Lyrics

Msondo ngoma music band
Nitakaza moyo dunia hii
Walimwengu wanavyotaka tukaze moyoo
Yarabby Mola nilinde
Nitakaza moyo dunia hii
Walimwengu wanavyotaka tukaze moyoo
Kama leo nimekwenda kazini kwangu weeh
Boss sasa hataki kuniona kabisaaa
Kama leo nmekwenda kazini kwangu weeh
Boss sasa hataki kuniona kabisaaa
Niliporudi nyumbani mama watoto kanuna
Kwa sababu ya maneno ya majirani jamani
Kuchunguza kwa makini Ni walewale binadamu
Si'mnaona
Niliporudi nyumbani mama watoto kanuna
Kwa sababu ymaneno ya majirani jamani
Kuchunguza kwa makini Ni walewale binadamu
Mama Bella
Msondo ngoma ya watanzania
(nitakaza moyo hapa duniani, niwashinde wafitini
Oooh Mola nilinde, oooh nisaidie)
Naenda kazini mambo moto, narudi nyumbani wamewasha moto (Tx Moshi)
Pale masikani ninapoishi hakuna amani kumebaki Shari eeh
(nitakaza moyo hapa duniani, niwashinde wafitini
Oooh Mola nilinde, oooh nisaidie)
Naenda kazini mambo moto, narudi nyumbani wamewasha moto (fitina tupu)
Pale masikani ninapoishi hakuna amani kumebaki Shari eeh
(nitakaza moyo hapa duniani, niwashinde wafitini
Oooh Mola nilinde, oooh nisaidie)
Binadamu wengi hawapendi kuwaona wenzaoo (kwamba)
Wakipata mafanikio ya kimaisha (babaa Natasha)
Mara watasema "alifanya hivi" - wengine watadai juwaa alifanya vilee
Ili mradi waharibu jina lake na sifa yakeee
Binadamu were tupendaneee
(nitakaza moyo hapa duniani, niwashinde wafitini
Oooh Mola nilinde, oooh nisaidie)
Binadamu wengi hawapendi kuwaona wenzaoo
Wakipata maendeleo ya kimaisha (babaa Natasha)
Mara watasema "alifanya hivi" - wengine watadai juwaa alifanya vilee
Ili mradi waharibu jina lake na sifa yakeee
Binadamu we tupendaneee
(nitakaza moyo hapa duniani, niwashinde wafitini
Oooh Mola nilinde, oooh nisaidie)
Walimwengu ndivyo (kamanda) tulivyo hapa dunianiii
Haya mambo yalikuwepo toka enzi za mababu
Yanapotokea Mambo Kama hayo usishangae
Yakitokea Mambo Kama hayo uvumulie
Nitakaza moyo hapa duniani, niwashinde wafitini
Oooh Mola nilinde, oooh nisaidie)
Walimwengu ndivyo tulivyo hapa dunianiii
Haya mambo yalikuwepo toka enzi za mababu
Yanapotokea mambo Kama hayo usishangae
Yakitokea Mambo Kama hayo uvumulie
(nitakaza moyo hapa duniani, niwashinde wafitini
Oooh Mola nilinde, oooh nisaidie, oooh Mola nilinde, oooh nisaidie)
Wote tunasema msondo kiboko yaoooo
Nani anabishaaaaa???
Sisi sote tunasema msondo kiboko yaoooo
Sisi sote tunasema msondo kiboko yaoooo
Haya twendeeeee
Haya twendeeeee
Kidogo tuu kidogo tuuu (haya twendeeeee)
Kidogo tuu kidogo tuuu (haya twendeeeee)
Haya twendeeeee
Watawezaaaa??
Written by: ISSAI IBUNGU
instagramSharePathic_arrow_out