Lyrics

Ngakunywa by Boondocks Gang ft Unspoken Salaton
Najaribu kusave tangu last year ndio nibuy keja
Lakini wapi, ngakunywa yote yote
Najaribu kuzima simu juu ya marafiki wa pombe
Lakini wapi, ngakunywa yote yote
Ati kama uko leo ni Friday
Usilale home hata kama ni bail iite meri go round round round
Ka umesota ndio mwendo na mwende na ni mtaa juu pombe
Na tende gani tamu juu kiembe na mtende upate jah kiporia kipi nibebe
Uliskia wapi No Niukumenywa, tumerokere
Na no tugatonga nitugetonga ni wa ngai
Najaribu kusave tangu last year ndio nibuy keja
Lakini wapi, ngakunywa yote yote
Najaribu kuzima simu juu ya marafiki wa pombe
Lakini wapi, ngakunywa yote yote
Nataka leo nikate mahesabu huyu ngeus hapa akatwe
Nilikuwa nishike kashake tukakata adi morambe
Nyama ya bata moshi ya mangel kutolewa siaga makumbu kama 10
Shawry we shawry umebeba adi morning
Staki kushow mi kigonyoi
Mi kigonyi, Staki kushow mi kigonyi
Mi kigonyi
Najaribu kusave tangu last year ndio nibuy keja
Lakini wapi, ngakunywa yote yote
Najaribu kuzima simu juu ya marafiki wa pombe
Lakini wapi, ngakunywa yote yote
Mi na glass ya Gin snap huku inanicapture
Pombe hukuaga tamu kwanza sa ile imechacha
Siezi funga chapter zikishika uber chap chap
Hizi chupa cheap cheki standard ni ya chartered
Bei ilipanda munchez mi nafika java
Leo ntadungia tu nasema nataka tu cassava
Siezi dunga pencil lakini achore saba
Sababisha ilete tu nastagger
Naskia inakatwa ka si maji inadepend
Ngakunywa yote jesus saves tukispend
Kila weekend tuko turned kwa events
Na make more every time na make sense
Najaribu kusave tangu last year ndio nibuy keja
Lakini wapi, ngakunywa yote yote
Najaribu kuzima simu juu ya marafiki wa pombe
Lakini wapi, ngakunywa yote yote
Najaribu kusave tangu last year ndio nibuy keja
Lakini wapi, ngakunywa yote yote
Najaribu kuzima simu juu ya marafiki wa pombe
Lakini wapi, ngakunywa yote yote
Written by: Edward Kimachu Irungu, Francis Macharia, Tony Kinyanjui
instagramSharePathic_arrow_out