Lyrics
[Verse 1]
Waridi
Manukato ya pombe
Nitoe baridi
Tushushie na Monde
Ya habibi
Kweli mungu hakosei
Mtoto gaidi
[Verse 2]
Kanilegeza kushine
Aii wewe we punguza kasi
Ukisugua unacheza rough
Utang'oa nyasi
Aii wewe we punguza kasi
Ukipanda juu unavyoruka ruka
Kama farasi
[PreChorus]
Nimekwama
Sijiwezi
Nimezama kwenye dimbwi la mapenzi
Nimekwama
Sijiwezi
Nimezama Kwenye dimbwi la mapenzi
[Chorus]
Ameniteka
Mtoto wa mama mkwe mtoto wa mama
Apunguze dozi
Mtoto wa mama mkwe mtoto wa mama
Ananichanganya
Wa mama mkwe Mtoto wa mama
Mmh yelele lele
Mtoto wa mama mkwe mtoto wa mama
Ooh mtoto wa mama
[Verse 3]
Aah mama Kazaa
Ona mtoto kifaa
Akicheka kama anakwita
Ukimwangalia tuu unajaa
Aah anajua kuvaa
Akivua unamwaga chapaa
Mtoto rangi moja inang'aa
Usione dichimbi kwenye paa
[Verse 4]
Papa Nguru
Ana nuru
Aah akishika Ikulu
Natoa ushuru
[Verse 5]
Natokaje hapa natokaje
Geuka waone shape hiyo, natokaje
Namwachaje jamani namwachaje
Ona mtoto alivyo chombo Namwachaje
[PreChorus]
Nimekwama
Sijiwezi
Nimezama kwenye dimbwi la mapenzi
Nimekwama
Sijiwezi
Nimezama kwenye dimbwi la mapenzi
[Chorus]
Ameniteka
Mtoto wa mama mkwe mtoto wa mama
Apunguze dozi
Mtoto wa mama mkwe mtoto wa mama
Ananichanganya
Wa mama mkwe mtoto wa mama
Mmh yelele lele
Mtoto wa mama mkwe mtoto wa mama
Ooh mtoto wa mama