Lyrics
[Verse 1]
Natamani kuimba pengine ukasikia
Maneno yangu ya mwisho
Ila sauti ndo inagoma yani kama inakwaruza
Ukinitazama macho nimevimba
Nimekesha nalia
Na sijui lini mwisho
Mwili wa joto na homa
Yani mpaka naunguza
[Verse 2]
Mapenzi hayana dhihaki
Mwenzko nishawaza nifaraki
Ama niende kotini nikashitaki
Kwamba unadhurumu furaha yangu
Mdomoni unamaji we samaki
Asa mbona ata kusema hutaki
Ama ndo nataka sitaki
Ina maana huzioni jitihada zangu
[Verse 3]
Pengine donda nilokupa
Limefuta upendo unajaribi kujilazimisha
Mengine unafanya kuniridhisha
Mwilii umekonda umebaki mifupa
Kulilia upendo basi moyo rudisha
Kama umenisamehe na yameisha
Kinyonge najiuliza bila majibu
Wapi ninapoharibu
Kila nacho jaribu hakikupendezi
[Chorus]
Utanikumbuka mpenzi uta
Utanikumbuka mpenzi utaa
Utanikumbuka mpenzi utaa
Mana wapo watakao kukosea
Utanikumbuka mpenzi utaa
Na wasikili kosa
Umri wetu tunawaza kukuchezea hakuna wakukuposa eeh-eeh
[Verse 4]
Inaboa mapenzi yakiisha isha
Licha yakujitoa mwenzangu kumridhisha
Eti mara yupo busy yupo busy
Alipo hataki nimuulize
Anajua lazima iniumize
Imeandikwa samehe na usilipize
[Verse 5]
Wenda ata msamehe ulonipa ni kazi bure
Kama umeshindwa nifanya nijione kama yule
Wako wa zamani
I swear to my dead body usimuamini rafiki anayekulipia kodi
Pengine anafurahi we kumpigia hodi
Hawezi support kukuona airport kila siku
Najiuliza bila majibu wapi napo haribu
Kila nacho jaribu hakikupendezi
[Chorus]
Utanikumbuka mpenzi uta
Utanikumbuka mpenzi utaa
Utanikumbuka mpenzi utaa
Mana wapo watakao kukosea
Utanikumbuka mpenzi utaa
Na wasikili kosa
Umri wetu tunawaza kukuchezea hakuna wakukuposa eeh-eeh
[Outro]
Uuh-uuh uuh-uuh utanikumbuka
Uuh-uuh uuh-uuh utanikumbuka
Na sikuombei mabaya mabaya
Uuh-uuh uuh-uuh utanikumbuka
Na sitokusema vibaya
Uso umeumbwa na haya
Uuh-uuh uuh-uuh utanikumbuka
Naota tu unipigia ukinikumbuka