Lyrics

[Verse 1]
Sol Generation
Merry Christmas to the nation
Oh, Lord
Tulianza mwaka tukiwa wengi, wengine hawakumaliza
Tukapanga nayo mipango mingi, lakini chache zikatimizwa
Sasa sherehe kwa church, wengine kwa bar
Count your blessings vile inafaa
Ya Mola ni mengi, shetani hawezi pangua
[Verse 2]
Salama kwako mama, Nairobi kuko sawa
Nilipatana na vijana, tukaimba Extravaganza
Crystal akajulikana, asante Maulana
Aki ningeweza mama, nifungue macho nikuone
[Chorus]
Nikiwa mbali (Mbali mama)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe
Ukiwa mbali (Mbali mama)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe
Wewe
[Verse 3]
Hakuwezi kuwa na shelerehe bila wewe
Mpenzi harakisha usichelewe
Nilizaliwa Disemba kama wewe
Njoo njoo unibembeleze
[Verse 4]
Moyoni ni mengi ninatarajia
Dada I'd give it all, mbinguni na dunia
Ili niwe na wewe muda unawadia
Njoo nile rhumba na wewe
[Verse 5]
Timing, imeharibiwa na kazi
Na sijui nitafanyaje, nichome moja na wewe
Niko grinding, na nimekushikia zawadi
Yaani
Sijui nitafikaje, ningependa nikupe mwenyewe
[Chorus]
Nikiwa mbali (Mbali mama)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe
Ukiwa mbali (Mbali mama)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe
[Bridge]
Ooh-ooh-ooh-ooh
Anywhere you are is home
Naomba Christmasi nile na wewe
Ooh-ooh-ooh-ooh
Anywhere you are is home
Naomba Christmasi nile na wewe
[Chorus]
Nikiwa mbali (Mbali mama)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe (Oh, no, no, no)
Ukiwa mbali (Na ukiwa mbali)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe
(Mwaka na wewe)
(Umoja natamani)
Nivuke mwaka na wewe
Written by: Sol Generation
instagramSharePathic_arrow_out