Top Songs By Wakadinali
Similar Songs
Credits
COMPOSITION & LYRICS
David Munga Ramadhan
Songwriter
Lyrics
Unakonda kwa nini na ushangambiwa usipende na mihadarati, usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Hata mama alimwambia usipende na mihadarati, usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Mwalimu shule ame-lecture usepende na mihadarati, usipende na mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Simple boy ameku-show, usipatane na mihadarati, usipende mihadarati
Unakonda kwa nini na ushangaambiwa usipende na mihadarati
Kwani topic itakuwanga tu makali? Ati moshi ndio ilifanya usione gari?
Driver ako under influence hatuendi mahali, man's addicted hadi mtaa anakinda mali
Socks imefura ndio ujue rose tunauza, cops si wa kula bro, si tushafungwa
Streets haina pupa, uki-insist pia utakufa
Symo ako ma-coke, bro ako ma-Chrome
Nani atazika nani? Mokoro ana-mourn
Wine ndo haikutu-warn, Yesu aliperform miracle ati ali-change maji to vodoo
Uncle hudoz kwa trench hauskii hivo ndo mi huambiwa, ni feeling inaitwa kushika liquor ikishikana na liver
Kwa diva aliingia arifa, muulize, saa hii amekuwa miezi pande za Sewer
Everybody's dancing in the moonlight, dancing in the moonlight, everybody's feeling warm and bright
Unakonda kwa nini na ushangambiwa usipende na mihadarati, usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Hata mama alimwambia usipende na mihadarati, usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Mwalimu shule ame-lecture usepende na mihadarati, usipende na mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Simple boy ameku-show, usipatane na mihadarati, usipende mihadarati
Unakonda kwa nini na ushangaambiwa
Naishi mtaa youths wamepagawa huku wengine wameachilia wire juu ya drugs, guns, violence, mpaka kuna chokoch aliuawa
Plenty vices ndio maana approach ni marijuana
Niaje yout ako 25 aka-rape shosh ako 91?
I used to have this ex, hata sisemi ni nani, huskii?
Face pretty, body risky, ngori ni ye hupenda whiskey
Ratchet chini ya maji but fi girl yu hushinda church, tuli-regret, alikufa kaa amejifunika carpet chini ya bed
Sijakam kupreach injili, ila mihadarati hadi tume-retreat
Na juu ya mama, spirit yake, Wakadinali is for the kids
Ghetto comes tukapotezanga Maxi
Heri kuishi bila politician, tusijipakange marashi
Kuna msee alikuwa bigiila ngirish ju ya kupata mabakshish
Aka-move to South B mpaka ju ya kupenda Rakish
Unakonda kwa nini na ushangambiwa usipende na mihadarati, usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Hata mama alimwambia usipende na mihadarati, usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Mwalimu shule ame-lecture usepende na mihadarati, usipende na mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Simple boy ameku-show, usipatane na mihadarati, usipende mihadarati
Written by: David Munga Ramadhan