Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Boutross
Boutross
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Churchill Oganga
Churchill Oganga
Lyrics
Emmanuel Kennedy
Emmanuel Kennedy
Songwriter
Boutross Munene
Boutross Munene
Lyrics
Kelvin Mbure Maina
Kelvin Mbure Maina
Lyrics
Emmanuel Kennedy Nyamamu
Emmanuel Kennedy Nyamamu
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Dede
Dede
Producer
Dede Babz
Dede Babz
Producer

Lyrics

Buda ju nimeomoka nikipita kwa njia ondoka (Ondoka), daily naball na mogoka ju nimekafunga ka locker (Locker)
Vera anaringa na planyo iza joh nimetambua kwamboka (Kwamboka), bado unacheza na bano nipate casino mi huchezanga poker (Iyee)
Hii pesa imeniweka mbele ndani ya gari so ni kadere (Kadere), unaringa na vile uko nyuma naeza kutuma nisichafue puma (Puma)
Msupa anaitwa Auma nilikuslice na nikakauma (Ooh), kumbe hupendaga chuma alijinice we hufanya ananuna (Nuna)
Ati Viki napenda your swag (Swaga), mi baby napenda hiyo nyuma (Haga)
Niko na mapesa kwa bag na zinaeza kutibu hapo mahali unaumwa (Umwa)
Usiku ye' hapendangi giza (Yeah), ndio maana mi hupull up na pizza (Haah), kindom kiwake alafu mastaar unanimaliza
Ju shoti napiga ka chweza, buda ju nimeomoka na fare silipagi chweza, uber ju nimeomoka (Omoka)
Swagga ni ngori nadunga machain, buda ju nimeomoka (Omoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem, buda ju nimeomoka (Omoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka), buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem, buda ju nimeomoka (Yeah-yeah)
Swaga ni ngori nadunga machain, buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem, buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka), buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem, buda ju nimeomoka
Mi swagga ni ngori nakunywa madem we ni upige ithafu uomoke
Toka tupate pia sisi soko yetu, tuliwacha kutrap huko kwote
Vile tuna press more kama doom, this end of topic maroaches
This is win and loses Street tunahawk, ttukitake lots of risks for the bosses
East tnapumzika fiti nika nimelala jela zote Embakasi
Rap mi ni mzazi still, si ndo huponanga bling zote za wasafi
Mi hulala same ka kitambo mzee mzima provider siwezi kuwa mrazi
Niliambiwa me ni savage kupanda stage na njumu za designer store zote nina wafuasi
Last victim kwa crime kitu waliona ilikuwa ni mashetani, ju tulimkula, hashtag excellent ilikuwa perfect timing
Eastlands mahali tunaishi parents wanaburry their kids, venye madem wako abused in these streets hizi memories zinanipea tease
Promoter alielewa kwa sana mi huwanga mavitu za kupunguza mastress, naskia show ilikuwa lit hata after kuunguza hiyo event
Swagga ni ngori nadunga machain, buda ju nimeomoka (Omoka), na bado ni kweli nakunywa madem, buda ju nimeomoka (Omoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka), buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem, buda ju nimeomoka (Yeah yeah), swaga ni ngori nadunga machain, buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem, buda ju nimeomoka (Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka (Nimeomoka), buda ju nimeomoka (Nimeomoka), nasema ni kweli nakunywa madem, buda ju nimeomoka (Yeah yeah)
Buda jo niliondoka (Ondoka), na Shawty anadai bakora (Bakora)
Skimbi kumbe ako mboka, dem aliniitia wakora (Wakora)
Pull up kejani, ati ye huchill tu mtu mmoja (Mtu mmoja)
Buda nishashusha toja, kumbe uko kitchen ndio maboy walitoka, buda niliporwa
Mtaa ni noma (Mtaa ni noma), bouty ilibidi nimesoma (Soma)
Vile nitalindaga boma (Boma), hata ka mi nimekonda
Mi hukula zenye zimenona (Nona), nikipata mboka naomoka (Omoka)
Huwezi nipata kwa corolla (Eey), buda always niko working nyi mnacheza mi niko kazi (Niko eey)
Chunga ukitembea mtaani hapa ni ngori maboy wako lucky (Maboy wako lucky), mi niliachana na jaba mi na mogoka hatupatani (Eey), bouty siachani na majani
Hata kama huwezani (Eey), ita maboy wa NACADA
Vile nawasha hizi vichaka (Eey), mi ni boy wa Wakanda, sistuki na stori za mboka-mboka eey (Kama ni ngori)
Mapetco, ndio bani akibonga nalet go (Pah-pah), mateso, mabeast wakora wa ghetto (Shah-shah)
Kwa kettle, napika chang'aa ndani ya rental, ni mapepo, snitch alib***h akakangwa hadharani kwa esto mi nimeomoka
Pussy **** wanapenda kuchocha, nakumbuka matha akienda kukopa
Hii si riba nilichoka kusota **** them, walibonga mengi nilipofika baze wakaondoka
Hapa Kenya huku hakuna wera, ka unasaka hela mpaka Doha, na vile maskele hujipa kwa rende, siku hizi jo mi nimeogopa
Nilibambwa na jenge mangware ju ya tire by jioni nilikuwa nimetoka, Alah wakbar, wanabonga mengi wana lack bars
Mi ni donga nyinyi ni marap fans, simnaona ni nini hardwork does, toka lini mimi scar na wack verse (Ey ah uh)
Hivyo ndo nahisi usidhani kuishi na ego ni rahisi, hamjastruggle ka dingo wa maiti, tulianza juzi nyi mlishindwaga nais**t
We can never hype nikikuona naona kijana you are lied to, no wonder ulihandwa walai ju even you're dead brothers never like you
I swear this rappers they know us, tungewazoza ni vile ilifikaga mahali we needed to grow up
'Cause most of my brothers they locked up
Written by: Boutross Munene, Churchill Oganga, Emmanuel Kennedy, Emmanuel Kennedy Nyamamu, Kelvin Mbure Maina
instagramSharePathic_arrow_out