Music Video

Wakadinali - "X Bosses" Ft Mic 1 Eazy (Official Music Video)
Watch Wakadinali - "X Bosses" Ft Mic 1 Eazy (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
David Munga Ramadhan
David Munga Ramadhan
Songwriter

Lyrics

My X bosses siku hizi wana-call my phone, "Siku hizi unaringa sana"
My X bosses siku hizi wana-call my phone, "Siku hizi unaringa sana"
Nakumbuka nikiwa baze time flani, zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka nikiwa jaba time flani, zilikuwanga siku za maajabu
Mama Uhuru sisi ni mahuru na anajua, izo game mbaya na tunazijua
Mbunge wa Emuhaya ananijua, si' huendea stock kukuwe mvua au jua
Pullup kwenye upblocks, boyz ndani ya 44s, chunga usindunge kwenye portal
Munga unakuja na ma-glock jo, odi wa Murang’a alikushow niko na craving ya kagoks bro
Arif alikatazangwa na mokoro, kutembea na mimi is a no-no
Nili-receive trantraction, ka kitu kadogo US toka kwa morio
Arif ananidrip magoro, ati Dosh kula hiyo tommorrow
Akili silly siko greasy looking kinda busy, hii ni hiliki hii ni pilipili hailiki
My X bosses siku hizi wana-call my phone, "Siku hizi unaringa sana"
My X bosses siku hizi wana-call my phone, "Siku hizi unaringa sana"
Nakumbuka nikiwa baze time flani, zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka nikiwa jaba time flani, zilikuwanga siku za maajabu
Okay real recognize real, tukipatana huwanga feeling kinda big deal
Mambo grand kazi kama kawa tena big lit, iller than most wasee wajawaitisha sick leave
Nikisambaza una-soak, nikicheki time nishaku three nil, na ka ni approach we tu kam ka unafeel free
Shika maganji tushike madem au tununue mali, kuishi na regrets kumbuka the days utalilia nani
Now catch me in the Benz, unadhani ni keroma sikunywi lejo
Nataka kupiga simu shika phone sikosi kredo, unasema nimechange ati "Mic Eazy uko na mapetho"
'Coz I be my own boss, nikikumbuka kuishi vi-ghetto, kumbuka nikiwa alone nikiandika
Hizi flows tutapachika hizi shows tutachachisha, hey everybody getting down in the party
Mambo grand Wakadinali, mic one got to look
My X bosses siku hizi wana-call my phone, "Siku hizi unaringa sana"
My X bosses siku hizi wana-call my phone, "Siku hizi unaringa sana"
Nakumbuka nikiwa baze time flani, zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka nikiwa jaba time flani, zilikuwanga siku za maajabu
Ey siko Nai niko Odhumo, uh ju ladha huku ilirumo
Bado-bado wrong rende pale Umo, natoanga usoo nikichomanga Mugumo
Sina was mi sipangii masiku, msupa ame-catch ju silambagi hiyo kitu
Iwe jua ama mvua sina issue, wananijua mi nikiwa mabangi ni ma big tune
We si bro we ni nephew, na kama huamini hii rende ni wrong **** F.U
Nakumbuka X bosses wakinitolea stress yote, mi' na hustle excess na si-take losses
Unapigwa ‘tshh’ bare hapa hatu-take nonsense, ushai bambwa na wife anaexpect mtoke?
Bro alimadwa na matha alikuwa anamexpect shoke
My X bosses siku hizi wana-call my phone, "Siku hizi unaringa sana"
My X bosses siku hizi wana-call my phone, "Siku hizi unaringa sana"
Nakumbuka nikiwa baze time flani, zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka!
Written by: David Munga Ramadhan
instagramSharePathic_arrow_out