Top Songs By Rebekah Dawn
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Rebekah Dawn
Performer
Mercy Masika
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rebekah Dawn
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Sauti nyingi zinanizingira
Mawaidha mingi, njia nyingi
Lakini najua sauti moja tu la kufuata
Sina mchungaji mwingine ila Yesu
Hata wengine wakiteleza njiani
Nitazidi kuwa mwaminifu kwake
Nitaamini neno lake
Hajawahi kunipotosha
[Chorus]
Hatua kwa hatua, nitaendelea
Mungu mbele yangu, nitamfuata
Hakuna njia ingine najua
Hatua kwa hatua, nitaendelea
[Verse 2]
Njia zake zaaminika
Neno lake ni la kweli
Kwa hilo nitasimama
Sitainamia dunia
Sina mwongozo mwingine ila Yesu
[Verse 3]
Sijawahi ona mwenye haki ameachwa
Waliokuchagua hawajawahi kujuta
Kwa hivyo nitazidii nawe, hata nisipoelewa
[Chorus]
Hatua kwa hatua, nitaendelea
Mungu mbele yangu, nitamfuata
Hakuna njia ingine najua
Hatua kwa hatua, nitaendelea
[Chorus]
Hatua kwa hatua, nitaendelea
Mungu mbele yangu, nitamfuata
Hakuna njia ingine najua
Hatua kwa hatua, nitaendelea
[Bridge]
Nitakufuata Yesu (Nitakufuata)
Ooh
Nitakufuata Yesu (Kiongozi mwema)
[PreChorus]
Mkombozi (Sina mwingine)
Mfalme (Sina mwingine)
Mwenye Enzi (Sina mwingine)
Msaidizi (Sina mwingine)
Mponyaji (Sina mwingine)
Mtetezi (Sina mwingine)
Mwokozi (Sina mwingine)
Mfariji (Sina mwingine)
[Chorus]
Hatua kwa hatua, nitaendelea
Mungu mbele yangu, nitamfuata
Hakuna njia ingine najua
Hatua kwa hatua, nitaendelea
[PreChorus]
Nitaendelea, na wewe Yesu
Mkombozi (Sina mwingine)
Mfalme (Sina mwingine)
Mwenye Enzi (Sina mwingine)
Msaidizi (Sina mwingine)
Mponyaji (Sina mwingine)
Mtetezi (Sina mwingine)
Mwokozi (Sina mwingine)
Mfariji (Sina mwingine)
[Chorus]
Hatua kwa hatua, nitaendelea
Mungu mbele yangu, nitamfuata
Hakuna njia ingine najua
Hatua kwa hatua, nitaendelea
[Chorus]
Hatua kwa hatua, nitaendelea
Mungu mbele yangu, nitamfuata
Hakuna njia ingine najua
Hatua kwa hatua, nitaendelea
Written by: Rebekah Dawn