Top Songs By Karura Voices
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Karura Voices
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Karura Voices
Songwriter
Lyrics
Nikiwa ndani yako, na wewe ndani yangu, msafi kuwa kweli sitanyauka
Nikiwa ndani yako, na wewe ndani yangu, mzabibu wa kweli sitanyauka
Umenipa uhai, umenipa uzima, nikiwa ndani yako (Sitanyauka)

Wewe ni tabibu wa kweli nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Wewe ni mzabibu wa kweli nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Wewe ni maji ya uhai nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Wewe ni mkate wa uhai nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Mimi ni kama mti iliyo kando ya mto, kwa nyakati zote sitanyauka
Mimi ni kama mti iliyo kando ya mto, kwa nyakati zote sitanyauka
Umenipa uhai, umenipa uzima, nikiwa ndani yako (Sitanyauka)
Umenipa uhai, umenipa uzima, nikiwa ndani yako (Sitanyauka)
Wewe ni tabibu wa kweli nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Wewe ni maji ya uzima nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Wewe ni tabibu wa kweli nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Wewe ni mkate wa uhai nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Wewe hunilaza kwa majani mabichi , kwa maji matulivu waniongoza
Wewe hunilaza kwa majani mabichi , kwa maji matulivu waniongoza
Umenipa uhai, umenipa uzima, nikiwa ndani yako (Sitanyauka)
Umenipa uhai, umenipa uzima, nikiwa ndani yako (Sitanyauka)
Wewe ni tabibu wa kweli nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Wewe ni tabibu wa kweli nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Wewe ni maji ya uhai nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Wewe ni mkate wa uhai nitakaa na wewe (Nawe, nawe, nitakaa na wewe)
Ai yee nawe (Nitakaa na wewe)
Mzabibu wa kweli wewe, maji ya uhai wewe, mkate wa uhai (Nitakaa na wewe)
Mzabibu wa kweli wewe, maji ya uhai wewe, ni mkate wa uzi, mkate uzi, mkate wa uzi (Nitakaa na wewe)
Mkate wa uzi, mkate wa uzi , mkate wa uzi , mkate wa uzimkate wa uzi (Nitakaa na wewe)
Written by: Karura Voices