Music Video

Queen Darleen - Touch (Official Lyrics)
Watch Queen Darleen - Touch (Official Lyrics) on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Queen Darleen
Queen Darleen
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Queen Darleen
Queen Darleen
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Basi gusa changu kiuno nami nitulie
Bila mfupa nnavyokata lazima usimulie
Weka nukta shika hapa na mimi niugulie
Kama Guta sema popote mwenzako niikalie
Naitakasa nafsi na roho darling, we ndoo yangu khabari
Kwa wengine sina habari, umenionjesha asali
Nimewaka ka kibatali, uno hadi juu ya dali
Niongoze nkuhonge ka gari, kandamiza huo msumari
Me napenda ukinishikagaa (Enhee)
Unanitouch-touch (Enhee)
Unanimaliza (Enhee)
Sema nikushike wapi (Enhee)
Me napenda ukinishikagaa (Enhee)
Unanitouch-touch (Enhee)
Unanimaliza (Enhee)
Sema nikushike wapi (Enhee)
Kwako nimekuwa zuzu, tena siwezi ganduka
Sijui umenipa juju, nikikuona napandwa mizuka
Me nasema waziwazi, mwenye wake aje amchukue
Utamu wa wali nazi, nasema vya ndani usisimulie
Meli imeweka nanga, me ndio wake mahabuba
Siendi kwa mganga, sijawahi kumroga
Naitakasa nafsi na roho darling, we ndoo yangu khabari
Kwa wengine sina habari, umenionjesha asali
Nimewaka ka kibatali, uno hadi juu ya dali
Niongoze nkuhonge ka gari, kandamiza huo msumari
Me napenda ukinishikagaa (Enhee)
Unanitouch-touch (Enhee)
Unanimaliza (Enhee)
Sema nikushike wapi (Enhee)
Me napenda ukinishikagaa (Enhee)
Unanitouch-touch (Enhee)
Unanimaliza (Enhee)
Sema nikushike wapi (Enhee)
Baby Uutamu kolea (Utamu), utamu kolea (Nimenogewa)
Baby uutamu kolea (Yani tamu sana), utamu kolea
Hasa baby niongeze (Utamu kolea)
Nishike na hapa (Utamu kolea)
Na kajicho nilegeze (Utamu kolea)
Nikanyage kama rapa (Utamu kolea)
Written by: Queen Darleen
instagramSharePathic_arrow_out