Top Songs By Queen Darleen
Credits
PERFORMING ARTISTS
Queen Darleen
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Queen Darleen
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Chorus]
Asubuhi na Muhogo (Ooh yeah!)
Mchana kutwa na Muhogo (Ooh yeah!)
Usiku pia na Muhogo
Kiukweli mie napenda penda (Ooh yeah!)
Asubuhi na Muhogo (Ooh yeah!)
Mchana kutwa na Muhogo (Ooh yeah!)
Usiku pia na Muhogo
Kiukweli mie napenda penda (Yah! Yah! Ooh yeah!)
Muhogooo..! Muhogooo..!
Muhogooo..! Muhogooo..!
Muhogooo..! Muhogooo..!
Muhogooo..! Muhogooo..!
[Verse 1]
Mizuri kwa kutafuna
Ukipata mibichi mibichi
Hasa ile iliyotuna
Sio vinjiti vinjiti
Nakula kwa kujikuna
Utamu fit kalikiti
Ogo la Mwanza la kisukuma
Kwa bed mpaka kwenye kiti
Ya Coco..
Ama upate Muhogo wa jang’ombe
Kimoko
Kisha nashushiaga na monde
Natumia Nawatumia
Yani sana sana {Sana Sana)
Nywele Indian na Peruvian
Yani kama kama (Kwa Ally Sote)
[Bridge]
Futa kwa wingi (Wingii wingii)
Laini kumeza
Upate mbilimbi (limbi limbi)
Na chumvi chombeza
Naskiaga Uwoya Madam Wema
Wamegombana kisa (Muhogooo..!)
Ile oyaoya masinema na vijemba Insta (Zogoo..!)
[Chorus]
Asubuhi na Muhogo (Ooh yeah!)
Mchana kutwa na Muhogo (Ooh yeah!)
Usiku pia na Muhogo
Kiukweli mie napenda penda (Ooh yeah!)
Asubuhi na Muhogo (Ooh yeah!)
Mchana kutwa na Muhogo (Ooh yeah!)
Usiku pia na Muhogo
Kiukweli mie napenda penda (Yah! Yah! Ooh yeah!)
Muhogooo..! Muhogooo..!
Muhogooo..! Muhogooo..!
Muhogooo..! Muhogooo..!
Muhogooo..! Muhogooo..!
[Verse 2]
Sitaki unibanie
La kunikataza kataza
Napenda nishikilie
Chachandu kupakaza pakaza
Nikila lazima nilie
Sipendi kunyamaza nyamaza
Muhogo kiboko ya mie
Kizungu ni cassava cassava
Kali Gari nyumba kali mbele pale
Sababu ya (Muhogooo..!)
Yani mali tamu asali
Hatari hatari nkilaga (Muhogooo..!)
Walivyo wadogo Heeh!
Eti nao wanajiitaga danga
Wanakula muhogo
Hawamiliki hata Vitanda
[Bridge]
Futa kwa wingi (Wingii wingii)
Laini kumeza
Upate mbilimbi (limbi limbi)
Na chumvi chombeza
Naskiaga Zari Madam Hero
Waligombana kisa (Muhogooo..!)
Ile oyaoya masinema na vijemba Insta (Zogoo..!)
[Chorus]
Asubuhi na Muhogo (Ooh yeah!)
Mchana kutwa na Muhogo (Ooh yeah!)
Usiku pia na Muhogo
Kiukweli mie napenda penda (Ooh yeah!)
Asubuhi na Muhogo (Ooh yeah!)
Mchana kutwa na Muhogo (Ooh yeah!)
Usiku pia na Muhogo
Kiukweli mie napenda penda (Yah! Yah! Ooh yeah!)
Muhogooo..! Muhogooo..!
Muhogooo..! Muhogooo..!
Muhogooo..! Muhogooo..!
Muhogooo..! Muhogooo..!
Written by: Queen Darleen