Featured In
Top Songs By Rayvanny
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Vocals
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Intro]
Aya twende, tetema (Oh, mama, tetema)
Tipwa tipwa, tetema (Oh, mama, tetema)
Aya twende, tetema (Oh, mama, tetema)
Shuka chini tetema (Oh, mama, tetema)
[Verse 1]
Eh, tetema yani kama umepigwa shoti (Tetema)
Nipe migandisho ya roboti (Tetema)
Ukutani hadi kwenye kochi (Tetema )
Kwenye giza mama shika pochi
[Verse 2]
Katoto kamenoga (Oh, mama)
Nakapa ndizi za Bukoba (Oh, mama)
Nakapadisha bodaboda (Oh, mama)
Kakichoka kuchuma mboga (Oh, mama)
[Verse 3]
Aii mama shigidi, aah
Nakufa hoi wikidi, aah
Aii mama shigidi
Konki, fire, moto, liquidi
[Chorus]
Aya twende, tetema (Oh, mama, tetema)
Tipwa-tipwa, tetema (Oh, mama, tetema)
Aya twende, tetema (Oh, mama, tetema)
Shuka chini tetema (Oh, mama, tetema)
[Chorus]
Aya twende, tetema (Oh, mama, tetema)
Tipwa-tipwa, tetema (Oh, mama, tetema)
Aya twende, tetema (Oh, mama, tetema)
Shuka chini tetema (Oh, mama, tetema)
[Verse 4]
(Tetema) Yani kama vile generator (Tetema)
Kama mwizi kakupiga ngeta (Tetema)
Mwendo wa kutunga kupepeta (Tetema)
Chini nikipuliza tarumbeta
[Verse 5]
Asa whozi dozi, cheza shogoloza
Kufa chali kama mende
Maria Roza poza tungi limepoza
Twende nikupige nyembe (Brrr, okay)
[PreChorus]
You make my mind go kolo (Kolo, kolo)
Ukinuna tu mie doro (Doro, doro, washa)
Saa nipe za digidigi (Washa)
Miuno ya gigi gigi (Washa)
Funga kibindo mkwiji kwiji (Washa)
Nikunyonge ka zigi-zigi
[Chorus]
Tete (Oh, mama, tetema)
Tipwa-tipwa, tetema (Oh, mama, tetema)
Aya twende tetema (Oh, mama, tetema)
Shuka chini tetema (Oh, mama, tetema)
Aya twende, tetema (Oh, mama, tetema)
Tipwa tipwa, tetema (Oh, mama, tetema)
Aya twende, tetema (Oh, mama, tetema)
Shuka chini, tetema (Oh, mama, tetema)
[Outro]
Kichaa kime-kime-kimepanda
Amewehuka (Kime-kimempanda)
Kapandisha mizuka (Kime-kimempanda)
Ana ruka-ruka (Kime-kimempanda)
Kichaa kime-kime-kimempanda
Kapanda juu ya meza (Kime-kimempanda)
Eti anavua shati (Kime-kimempanda)
Kalewa anacheza (Kime-kimempanda)
Yani varangati
Written by: Rayvanny