Music Video

Harmonize Ft Diamond Platnumz - BADO (Official Music Video)
Watch Harmonize Ft Diamond Platnumz - BADO (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
Harmonize
Harmonize
Performer

Lyrics

Kutwa kidomo wazi, nikifuta na machozi, huku namuomba Mola unitoke moyoni
Ila ndo siwezi, nakesha ka mlinzi, maana hata nkilala unaniijia ndotoni
(Lato) Asante kwa kuniumizaa, nimejifunza mengi, mwanzo sikuyajua
(Katu) Naapa kutolipiza, ila mwambie mapenzi abaki kuyasikia
Nakumbuka maneno yako (Hutonikimbia), utabaki namii
Tena ukala na viapo, Taurat, Bibilia leo sikuoni
Ila mwenzako bado (Bado-bado, bado-bado), mwambie bado (Bado-bado, sijapona)
Ila mwenzako bado (Bado-bado, bado-bado), mmh bado (Bado-bado, sijapona), misijapona roho
Mola nishike mkono Baba Muumba haya ninayoyaona, (Simanzii)
Yaani bora jicho mchanga ningefumba, huenda ningeshapona, (Maradhii)
Maumivu yangu, hayawezi kupona kwa vidonge, sababu panaponichoma, nikipapasa sipaoni
Kweli peke yangu, umeniacha na unyonge, kabisa wakanipokonya tonge langu mdomoni
Onana, nakumbuka maneno yako (Hutonikimbia), utabaki namii
Mi ndo mwili, mi roho yako (Yaani umetimia), mbona sikuoni
Ila mwenzako mimi (Bado-bado) Mmh-mmh (Bado-bado), mwambie bado (Bado-bado, sijapona)
Ila mwenzako bado (Bado-bado, bado-bado), mmh bado (Bado-bado, sijapona)
Ah aah ile roho yangu mama (Ibebe), inandondoka (Ibebe)
Iokote mama (Ibebe), chaukucha nsije zima
Roho yangu (Ibebe), inandondoka (Ibebe), njoo unishike mama(Ibebe), chaukucha nsije zima
Ai wewe (Ibebe), watanizika mama (Ibebe), mwenzio taabani (Ibebe, chaukucha nsije zima)
Masikini pendo langu (Ibebe), linandondoka (Ibebe), niokote mama (Ibebe, chaukucha nsije zima)
Ibebe, ibebe, ibebe, chaukucha nsije zima
Ibebe, ibebe, ibebe, chaukucha nsije zima
Written by: Harmonize
instagramSharePathic_arrow_out