Top Songs By Boondocks Gang
Credits
PERFORMING ARTISTS
Boondocks Gang
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tony Kinyanjui
Songwriter
Francis Macharia
Songwriter
Edward Kimachu Irungu
Songwriter
Lyrics
INTRO
Fikiria kitu ingine nani ka unadhani unatukunywa nooooo
Usijiforce kutukunywa by force
Usijiforce ka hukati hadi four
Usijiforce f for forehead fore usijiforce
Naanzanga kwanza na maclick aaahaa
Before aiiii na imeee ahaaaa
Hii kitu haitaki eeee ahaaaa
Leo ahaaaa ni kuteee ahaaaa
Focus focus focus unaloose focus
Purpose purpose ka meiva adi sku matter
Ati skru skru pa pa my sky my type skru pa pa
Na my mica arauga atereee ateree komelele
Usijiforce kutukunywa by force
Usijiforce ka hukati hadi four
Usijiforce f for forehead fore usijiforce
Kama magenta make your pum pum soo
Na venye unashake your bunda on dansi floor
Sijai ona bunda bigger than her
Mi nataka nani iko fresh kama toss
Nina spash kwa ran, ebu wacha niite yvone
Tuko nje tunacheza tu masport
Kama ni swimming tunafika adi coast
Niko maji na bado niko set
Usijiforce kutukunywa by force
Usijiforce ka hukati hadi four
Usijiforce f for forehead fore usijiforce
Written by: Edward Kimachu Irungu, Francis Macharia, Tony Kinyanjui