Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Rose Muhando
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rose Muhando
Songwriter
Lyrics
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe
Nibembeleze, nibebe
Eh Yesu, unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe
Nibembeleze, nibebe
Eh Yesu, unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Eh Mungu angaliya kunena kwangu
Na uisikie sauti ya kilio changu
Moyo wangu umechoka sana, Baba
Kwa ajili ya wingi wa mateso yangu
Nafsi yangu imegandamana na mavumbi
Niokowe mikononi mwa midomo ya ubwa
Kwanini ninateswa sana kwa ajili yako babaga?
Niokoe mikononi mwa watu wabaya
Fanya hima unisaidie, nibebe
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)
Nibembeleze, nibebe (Baba)
Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
Nichukue unibebe (aah)
Mikononi mwako niwe salama
Nimechoka peke yangu safari ngumu ni ndefu, nibebe
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)
Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)
Eh Yesu, unibebe (Baba)
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Macho yangu yamedhoofukwa machozi
Kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani?
Kwa kuwa aliyenitukana siye adui yangu
Bali ni rafiki yangu tuliyejuana naye sana
Tulikula pamoja, tulisali pamoja
Kanisani pamoja
Bwana asifiwe kwa sana
Kumbe mwenzangu alikusudia kuniangamiza, eh
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)
Nibembeleze, nibebe (Baba)
Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
Nichukue unibebe (Baba)
Mikononi mwako niwe salama (Yesu eh)
Kweli nimeamini adui wa kwanza ni yule wa nyumbani mwako
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh)
Nibembeleze, nibebe (Baba)
Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
Nichukue unibebe (Baba yangu)
Mikononi mwako niwe salama
Ata niliyo wasaidiya na wameni shuudiya uwongo
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)
Nibembeleze, nibebe (Baba)
Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
Nichukue unibebe (aah)
Mikononi mwako niwe salama
Wengine wakinibeba nitaambulia matatizo, Yesu nibebe
Dunia ikinibeba, itanipeleka jehanamu, Yesu nibebe
Marafiki wakinibeba watanipeleka pabaya, Yesu nibebe
Baba nibebe, Yesu nibebe
Nibembeleze, nibebe
Nichukue mbiguni salama
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)
Nibembeleze, nibebe (Baba)
Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
Nichukue unibebe (Baba yangu)
Mikononi mwako niwe salama
Nimechoka pekee yangu safari ngumu ni ndefu, siwezi
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)
Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)
Eh Yesu, unibebe (Baba)
Nichukue unibebe (Baba yangu)
Mikononi mwako niwe salama
Nifike mbinguni nimwone Eliya (amen)
Nifike mbinguni nimwone Yakobo (amen)
Pamoja na kiti cha enzi mbinguni kwa baba (amen)
Njia za dhahabu nami nakatembelee (amen)
Oh baba nibebe, Yesu nibebe
Nibembeleze, nibebe, nichukuwe mbinguni salama
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh)
Nibembeleze, nibebe (Baba)
Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
Nichukue unibebe (Baba yangu)
Mikononi mwako niwe salama
Nakwita Yesu unibebe, mwokozi
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)
Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)
Eh Yesu, unibebe (Baba)
Nichukue unibebe (Baba yangu)
Mikononi mwako niwe salama
Nifike mbinguni nikamwone baba (amen)
Nifike mbinguni nikapumzike (amen)
Katika kiti cha enzi nami nikasujudie (amen)
Niwaone wenzangu wale walionitangulia (amen)
Niikale matunda ya mti wa uzima (amen)
Yesu nibebe, baba nibebe
Nibembeleze, nibebe nifikishe mbiguni salama
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh)
Nibembeleze, nibebe (Baba)
Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)
Nichukue unibebe (Yesu eh)
Mikononi mwako niwe salama (Baba)
Nimechoka peke yangu dunia ngumu pekeyangu siwezi
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)
Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)
Eh Yesu, unibebe (Baba)
Nichukue unibebe (baba yangu)
Mikononi mwako niwe salama
Nimechoka peke yangu safari ngumu ni ndefu, siwezi
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)
Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)
Eh Yesu, unibebe (Baba yangu)
Nichukue unibebe (aah)
Mikononi mwako niwe salama
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe
Nibembeleze, nibebe
Eh Yesu, unibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
Writer(s): Maureen Nkirote
Lyrics powered by www.musixmatch.com