Lyrics

Haste haste, rote rote Hasna siko, aah Do you remember ulivyokwenda safari? Huku nyuma Ali mimi sina hali Sio useme tu "nakupenda sana" Roho inaniuma aah Ukinitenda ntaumia sana Niambie baby, aah Slow slow baby, ni-kiss tena Watu wanaumia aah Ukinitenda ntaumia sana Niambie baby, aah So far away From far away We from far away We so far away We so far away From far away We from far away We so far away Rote rote, hasna siko Haste haste, ndo nshasema Rote rote, hasna siko Haste haste, roho itaniuma Niseme nini mimi yalishaniumiza (niumiza roho) Kama mapenzi mi nshateswa sana Slow slow baby, ni-kiss tena Watu wanaumia aah Ulivyonipenda, nshaumizwa sana Niambie baby, aah Slow slow baby, ni-kiss tena Watu wanaumia aah Ukinitenda ntaumizwa sana Niambie baby, aah It's so far away From far away We from far away It's so far away It's so far away From far away We from far away We so far away Tumetoka far, far, far, far away Mbali, kabla sina hali Maisha ya kunywa chai na ugali Mpaka leo twala ndama, sio bata, kila mahali Usiniache, usikache my boo Kabla ya kuchukua maneno kumbuka I love you (You know that) Hakuna kunidanganya (and you know that) Nakupenda nakuheshimu sana (and you know that) My love, my heart, my queen (and you know that) Without you king never gon be seen So usiende mbali, mbali, mbali we Oh tumetoka far, far, far away Mbali, mbali... mbali wee Mbali, mbali... tumetoka far away It's so far away From far away We from far away It's so far away It's so far away From far away We from far away We so far away Naumia inaumiza roho Kwa maneno wanasema Eti mimi sikufai Unanitenda, wachawi acha wi Hayawahusu Midomoni mwao mejawa sumu Na maneno ya kashfa Na maneno mengine yakata Kata kabisa, husikiiza Usipende kusikiiza Na mengine ya kashfa Kashfa, na wengene wanapaka Wanapakaza maneno ya sumu yanafitin
Writer(s): Ally Salehe Kiba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out