Lyrics

Umeninogesha na mapenzi matamu Umeninogesha baby I got love Umeninogesha na mapenzi matamu Umeninogesha baby I can't deny Bwana mkunaji Limemkuta pele(ka kololo) Michezo ya Selina Kuchezea na nywele(ka kololo) Mwenzako mapenzi yamenizidia Ukiniacha nitakufa nitaning'inia Kwa yako mapenzi nimekunywa bia Mi nilewe(ka kololo) Hallelujah eeh Utasema hallelujah(ka kololo) Hallelujah eeh Utasema hallelujah(ka kololo) Mi ni fundi mwenye slow motion Matendo yangu slow but kwenye motion Mi ni fundi mwenye slow motion Matendo yangu slow but kwenye motion (ka kololo) Mama nitek, eeeh Nitekenye nicheke, eeeh Unacirculati Mpaka mapepo zangu zina vaporati Hapo juu beiby vibrati Mwenzako chini nifanye kama ground shaker (ka kololo) Eeh bwana mkunaji Limemkuta pele(ka kololo) Michezo ya Selina Kuchezea na nywele(ka kololo) Hallelujah eeh Utasema hallelujah(ka kololo) Hallelujah eeh Utasema hallelujah(ka kololo) Mtoto wa Uswahilini(yeah) Nipe mapenzi ya kiswazi Umeiombea, nikakupatia Basi mpenzi iwe siri(ka kololo) Umeiombea, nikakupatia Basi mpenzi iwe siri Mapigo yatapishana(chonde) Usije kuniachana(chonde) Tukatoana maaana(chonde) Yaani wewe(kakololo) Hallelujah eeh Utasema hallelujah(ka kololo) Hallelujah eeh Utasema hallelujah(ka kololo) Wala hunaga uoga uoga Navyo ndondosha moja moja Unavyopandaga chuma mboga Yaani wewe(ka kololo) Mapigo yatapishana(chonde) Usije kuniachana(chonde) Tukatoana maaana(chonde) Yaani wewe(kakololo) Mapigo yatapishana Usije kuniachana Tukatoana maaana Yaani wewe(kakololo) Ka kololo Ka kololo Ka kololo Ka kololo
Writer(s): Faustina Mfinanga, Will Paul Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out