Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Trone
Trone
Producer

Lyrics

Eyo Trone Oh my God it's my birthday (it's my birth day) Oh my God it's my birthday hey (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Oh my God it's my birthday (it's my birth day) Oh my God it's my birthday hey (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Siku nyingine ya furaha Am so happy, happy, happy (happy, happy, happy) Mwaka mwingine nime vuka Am so happy, happy, happy (happy, happy, happy) Asante mama, asante sana kwa kunizaa Upendo wako moyoni mwangu hutochuja Siku kama leo ulimwaga chozi la furaha Mtoto wako damu yako nimekuja Niko na marafiki (ah éh) Kuna zawadi (ah éh) Twa cheza mziki (ah éh) Wana mwaga maji Basi post picha yangu (ah éh) Niletee na keki yangu (ah éh) Tufurahi ndugu zangu (ah éh) Maana leo ni siku yangu Oh my God it's my birthday (it's my birth day) Oh my God it's my birthday hey (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Oh my God it's my birthday (it's my birth day) Oh my God it's my birthday hey (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Happy birthday to me Kata keki (kata, kata) Tule (kata kata) Leo siku ya furaha (kata, kata) Tule (kata, kata) Muite chap, chap Mutua (kata, kata) Kama anakupa chukua (kata, kata) Kata (kata, kata) Kata (kata, kata) Éh, kwani baba mnataka nini? (tupe pombe) Éh (tupe pombe) Nini? (tupe pombe tulewe) Vipi hamtaki juice? (tupe pombe) Maji vipi? (tupe pombe) Hata soda? (tupe pombe tulewe) ah sawa, sawa Kina dada mnataka nini na nyie? (tupe nyama) Éh, (tupe nyama) Ugali? (tupe nyama tushibe) Aya wa toto (tupe soda, tupe soda, tupe soda tukunye) Eyoo Trone
Writer(s): Rene Baumann, Axel Breitung Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out