Top Songs By Chidi Benz
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Chidi Beenz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Miikka Kari
Songwriter
Rashidi Abdallah Makwiro
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Bongo Flava, Bongo Bongo, Bongo Flava Ahaa
Bongo Flava, Bongo Bongo, Bongo Flava aa
[Verse 1]
Mara nyingine najiuliza una uzuri wa namna gani na nashindwa pata jibu uuh
Ukiwepo wee ndo chanzo kunipoza nafsi yangu ninapo pata majaribu uuh
Nakwaaamiiini bila yamini we ndo dawa kunitibu uuh
Naweza tamba nje kote ila kwako sithubutu siwezi hata kujaribu
[Verse 2]
Kote niliacha ujinga sitaki, usije ukaniacha nongwa staki
Kwani nisivyotaka, ni kwako haki bora kukupata oh mama weeh
Kote niliacha ujinga sitaki, usije ukaniacha nongwa staki
Kwani nisivyotaka, ni kwako haki bora kukupata oh mama weeh
[Chorus]
Nipe raha za dunia, niwe mtu kwenye watu
Sitaki kukukosea, kwenda kwa vidudu mtu
Penzi sitolichezea, kwako nikakosa vitu
We ndo wangu my dear, sikufananishi na mtu
Mash'Allah
[Verse 3]
Kwanza desturi na mila, mzuri wa tabia
Akili timamu sio taahira, mpole nikikosa hauna sura ya kuzira
Mapenzi yako moto, nawashinda tatu bila, bila, bila
[Verse 4]
Umenishika siwezi ongea, wengine wote wamepotea
Usiniache safarini taratibu nasogea
Dar, Moro, Songea, Rock City, Nachingwea
Nchi zote tutakwenda, wawili kama pair
[Chorus]
Nipe raha za dunia, niwe mtu kwenye watu
Sitaki kukukosea, kwenda kwa vidudu mtu
Penzi sitolichezea, kwako nikakosa vitu
We ndo wangu my dear, sikufananishi na mtu
[Chorus]
Nipe raha za dunia, niwe mtu kwenye watu
Sitaki kukukosea, kwenda kwa vidudu mtu
Penzi sitolichezea, kwako nikakosa vitu
We ndo wangu my dear, sikufananishi na mtu
Mash'Allah
[Verse 5]
Labda ni macho yanayonizuzua, ndo maana wazushi wanapenda kuzua
Labda ni figure inayonivutia ndo maana masela hawaishi kufuatilia

Written by: Miikka Kari, Rashidi Abdallah Makwiro