album cover
Samia Oyeeh
7
Afro-Beat
Samia Oyeeh was released on July 23, 2025 by Fe Tanzania as a part of the album Samia Oyeeh - Single
album cover
Release DateJuly 23, 2025
LabelFe Tanzania
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM179

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Xouh
Xouh
Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Ramadhan Daniel
Ramadhan Daniel
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Steven Philip Paul
Steven Philip Paul
Producer

Lyrics

Mama Mama Mama Samia
Mama mama Twajivunia
Mama Mama Mama Samia
Mama mama Twajivunia
Mama Samia Oyeeh
Mama Samia Oyeeh
Ccm Oyeeh Ccm oyeeh
Raisi wetu Oyeeh
Mama Samia Oyeeh
Ccm Oyeeh Ccm oyeeh
Tunaposema mama anaupiga mwingi
Tunamaanisha kafanye mengi ya msingi
Ameimarisha sekta ya uchumi
Pato la taifa limeongezeka kwa kasi sana
Sekta ya Afya
Amepunguza vifo vya uzazi na watoto chini ya miaka sita
Na barabara kote zinafika
Tunatamba na umeme nchi nzima unawaka
Mama Mama Mama Samia
Anatupenda Mama
Mama mama Twajivunia
Mama Mama Mama Samia
Mama mama Twajivunia
Mama Samia Oyeeh
Mama Samia Oyeeh
Ccm Oyeeh Ccm oyeeh
Raisi wetu Oyeeh
Mama Samia Oyeeh
Ccm Oyeeh Ccm oyeeh
Anafanya kazi kubwa asa kwanini tusimchague.. Mitano tena
Kafanya mambo makubwa na mengine ngoja nikwambie
Mageuzi ya siasa nchi yetu kwasasa iko mbele
Hii awamu ya sita kazi iendelee
Miundombinu yaani sasa ndo usingee
SGR kilometer mia tano na zaidi
Elimu nchi nzima sasa bure
Wanafunzi wanakwenda wote shule
Nawapa wapinzani wote pole
Semeni yote ila mama yetu muacheni
Mama Mama Mama Samia
Mama mama Twajivunia
Mama Mama Mama Samia
Mama mama Twajivunia
Mama Samia Oyeeh
Mama Samia Oyeeh
Ccm Oyeeh Ccm oyeeh
Raisi wetu Oyeeh
Mama Samia Oyeeh
Ccm Oyeeh Ccm oyeeh
Written by: Ramadhan Daniel
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...