Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Frank Ngumbuchi
Frank Ngumbuchi
Songwriter

Lyrics

Baby mi leo nataka tuonane
It's been a while tangu tupotezane
I know you know
I love you girl
I love you girl yeah
Najua hakuna kosa
Ulifanyaga kwangu mimi
Na hakuna kosa
Nilifanyaga kwako wewe
So what made up separate
Why didn't we go far?
Gari ninazo Jumba bangaloo
Pesa za michezo
Mpaka nitakapokata
Kuna nilivyo vimiss
Ukiwa una move zile hips
Ndo zinanipagawisha kabisa
Sitaki kukukosa baby please
Acha nibebe tu makesi
For you i'm going to use my gun
Kwani ni vidume gani vinavyokusumbua
Nimwage ubongo chini?
Nimwage ubongo chini baby
Chini baby
Tuliachanaje
Uuohhh
Achanaje
Uoohh ohh
Tuliachanaje
Uuohhh
Achanaje
Uoohh ohh
Tuliachanaje
Uuohhh
Achanaje
Uoohh ohh
Tuliachanaje
Uuohhh
Achanaje
Uoohh ohh
Tulipotezaje contact
Mpaka leo me sijui
Nani alifanyaga mistake
Hadi wapenzi wakawa maadui
Miezi zaidi ya sita imeshapita
We been fighting nini kisa
Njoo tumalize vita
I know u miss me and i miss ya
Maneno ya marafiki ndo yaliyofanya hadi ukasema its over
Wana chuki wanafiki
Na hawakupenda kutuona pamoja
Hated on me cos u were my baby
Wakakuchota akili
Wakayatunga hakuna cha kweli
Ukawaamini ndo ulipofeli
Now u callin
Cos umeshajua that i did not
I told you that i did not
Come back to me be mine
Nimemiss zile dinner za 5 stars Baby oh god
Me and you kwenye bimma Tukicruise out all night long
Tuliachanaje
Uuohhh
Achanaje
Uoohh ohh
Tuliachanaje
Uuohhh
Achanaje
Uoohh ohh
Tuliachanaje
Uuohhh
Achanaje
Uoohh ohh
Tuliachanaje
Uuohhh
Achanaje
Uoohh ohh
Sijawahi kusahau
Ule utamu ulowahi nipa
Sogo halijaufuta
Wahi kuisahau
Ile mi tych yako
Ubongo bado havijaufuta
Na ndo mana leo nimekukumbuka
Rudi gheto ili tuvute wote shuka
Kama kuna ugumu kwenu ruka Ukuta
Pale pale pa zamani utanikuta
Baby
Written by: Frank Ngumbuchi
instagramSharePathic_arrow_out