Top Songs By Vii Sugar Boy
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Vii Sugar Boy
Vocals
Said Selemani Kakombe
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Vii Sugar Boy
Songwriter
Said Selemani Kakombe
Songwriter
Ali Hamza Naliongera
Songwriter
Martin David Minja
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Vii Sugar Boy
Executive Producer
Ali Hamza Naliongera
Producer
Zungu Beatz
Producer
WYDA
Mastering Engineer
Martin David Minja
Mastering Engineer
Lyrics
Si ulisema una mapenzi
Yako wapi hayo mapenzi
Nilijibana bana
Kidogo nilichonacho nikupe
Haukuridhika na changu kidogo
Nilichoteseka juani kukipata
Ili nikupe wewe
Nikupe wewe
( we ndio wa hubani wee )
Penzi lako dawa kwangu
Nachougua napona
Usiwe mbali ata kidogo
Nitapona
Kukusahau me nashindwa mbona
Jua likizama
Mwili wote homa
Naugua mapenzi
( Jua likizama naugua mapenzi )
Naugua kupenda
( Na likichomoza naugua mapenzi )
Naugua mapenzi
( Jua likizama naugua mapenzi )
Naugua kupenda
( Na likichomoza naugua mapenzi )
Sio rahisi kumpata kama wewe
Usibaki mwenyewe
Ona napombeka mwenyewe
Nielewe
Ni ibilisi
Hataki niwe na wewe
Maugomvi na wewe
Ona navyokesha mwenyewe
Siwezi
We unaniumiza roho
Unaniumiza roho
Sababu nishakupenda
Na unajua
Penzi lako dawa kwangu
Nachougua napona
Usiwe mbali ata kidogo
Nitapona
Kukusahau me nashindwa mbona
Jua likizama
Mwili wote homa
Naugua mapenzi
( Jua likizama naugua mapenzi )
Naugua kupenda
( Na likichomoza naugua mapenzi )
Naugua mapenzi
( Jua likizama naugua mapenzi )
Naugua kupenda
( Na likichomoza naugua mapenzi )
Written by: Ali Hamza Naliongera, Martin David Minja, Said Selemani Kakombe, Vii Sugar Boy