Music Video

Vii Sugar Boy Ft. Zungu Beatz - Make You Happy (Audio)
Watch Vii Sugar Boy Ft. Zungu Beatz - Make You Happy (Audio) on YouTube

Featured In

Lyrics

Siwezi ona sunrise
Siwezi ona sunset
Nipo kwa giza tu
Na kwenye hiki kichwa
Only one am thinking about is you
Mbali siwezi kwenda
Kwako me nishapagawa baby
Nakesha usiku na mchana
Kwa ajili yako my boo
Ni maokoto
Nasaka maokoto
Nikupatie vitu vile vya bei za juu
Ni msoto maisha ya msoto
Ata nikiwa sina we unanipenda boo
Nakupenda sana
Unachotaka nitakupa
Ata nikikosa mama
Usije ukabadilika
Because
I love to make you happy
Cause it makes me happy baby
Love to make you hapy
Cause it makes me happy baby
Love to make you happy
Cause it makes me happy baby
Love to make you hapy
Cause it makes me happy baby
Upendo kama huu
Me mwenzenu sijawah kupata
Kanizoesha vibaya
Utata utata
Usingizi kwa tabu
Mpaka kunakucha
Ili baby uishi poa
Ni maokoto
Nasaka maokoto
Nikupatie vitu vile vya bei za juu
Ni msoto maisha ya msoto
Ata nikiwa sina we unanipenda boo
Nakupenda sana
Unachotaka nitakupa
Ata nikikosa mama
Usije ukabadilika
Because
I love to make you happy
Cause it makes me happy baby
Love to make you hapy
Cause it makes me happy baby
Love to make you happy
Cause it makes me happy baby
Love to make you hapy
Cause it makes me happy baby
Written by: Vii Sugar Boy
instagramSharePathic_arrow_out