Top Songs By Msanii Music Group
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Msanii Music Group
Choir
COMPOSITION & LYRICS
Joash Nyamongo Ongechi
Songwriter
Msanii Music Group
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Msanii Music Group
Producer
Lyrics
TUTAMWIMBIA
Tukifika mbinguni kwa yesu
Maumbuko yataisha
Tutapokelewa kwa ukarimu na wenyeji wale
Furaha ambayo hatujapata tutapata huko
Furaha ambayo hatujapata tutapata huko
(Chorus)
Tutamwimbia mbele ya kiti cha enzi
Wimbo wa Ajabu
Wa musa na mwana kondoo
Na taji tutaweka
Miguuni pa Mungu
Tukimwabudu kwa heshima
Tutamwimbia mbele ya kiti cha enzi
Wimbo wa Ajabu
Wa musa na mwana kondoo
Na taji tutaweka
Miguuni pa Mungu
Tukimwabudu kwa heshima
Mbele ya kiti cha ukombozi yesu mfalme wa amani
Tutapokelewa na marafiki na wenyeji wetu
Furaha amabayo hatujapata tutapata huko
Furaha amabayo hatujapata tutapata huko
(Chorus)
Tutamwimbia mbele ya kiti cha enzi
Wimbo wa Ajabu
Wa musa na mwana kondoo
Na taji tutaweka
Miguuni pa Mungu
Tukimwabudu kwa heshima
Tutamwimbia mbele ya kiti cha enzi
Wimbo wa Ajabu
Wa musa na mwana kondoo
Na taji tutaweka
Miguuni pa Mungu
Tukimwabudu kwa heshima
Japo mengi duniani yanaweza vutia macho
Não marafiki Wengi wamechagua kuyafuata ya dunia hii
Tukifika mbinguni
Tutakumbuka ya dunia
Tuliyodhani ni ya muhimu kumbe yote bure
(Sop, tenor and alto solo female)
Tukifika mbinguni
Tutakumbuka ya dunia
Tuliyodhani ni ya muhimu kumbe yote bure
(Chorus)
Tutamwimbia mbele ya kiti cha enzi
Wimbo wa Ajabu
Wa musa na mwana kondoo
Na taji tutaweka
Miguuni pa Mungu
Tukimwabudu kwa heshima
Tutamwimbia mbele ya kiti cha enzi
Wimbo wa Ajabu
Wa musa na mwana kondoo
Na taji tutaweka
Miguuni pa Mungu
Tukimwabudu kwa heshima
(Chorus)
Tutamwimbia mbele ya kiti cha enzi
Wimbo wa Ajabu
Wa musa na mwana kondoo
Na taji tutaweka
Miguuni pa Mungu
Tukimwabudu kwa heshima
Tutamwimbia mbele ya kiti cha enzi
Wimbo wa Ajabu
Wa musa na mwana kondoo
Na taji tutaweka
Miguuni pa Mungu
Tukimwabudu kwa heshima
Written by: Joash Nyamongo Ongechi