Lyrics

[Intro]
Yoh cheki, ey ey
Tano nane, skia
Ey, ey
Ey
[Verse 1]
Anapiga pic ndani ya nyumba, na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba, tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune, nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba, na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba, tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune, nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
Yo, manze hepa si watu wanabreak up
[Verse 2]
Kuna watu wawili wawili wanachezwa
Na bro mara ngapi unamwita ukilengwa
Na kama hujai notice, fathela alimteka
Siku hizi kwela wako ni kulalia tu pesa
[Verse 3]
Mabuda wa vitambi ju ya Prado si Imprezza
Na nguna akiwa maji anatekwa bila pressure
Form zake za kulewa zi hupandisha temper
Sare stori mingi tulikutana December
Ukimuona ako na daro, we jua kuna mambo
[Verse 4]
Kitu one time, ka ni biz akule vako
Backdoor tuko jamdown ni kulight up
Mi nadai short fine ass na mabundles
Baby calm down bado una whine
Kuzidisha morio wake fine ye ni browntskin
[Verse 5]
Yaani dem kitu safi
Huwezi fikiria mara mbili ulale ndani
Napatana na Wendy anapanga ju ya wikendi
Anadai aende club ashikishe hizo vibeti
Vibeti za masponyo akitingisha kiuno
Anadai ashike ball ndo apeleke mpaka Europe
[Verse 6]
Stori za uongo ju sponyo ni wa kiyolo
Anadunga hadi magoro, na kwela ni mamboto
Achachishe kwa mamorio, ifikie hadi mokoro
Na doba zangu genje kuteka mtoto wa Sonko
Mtoto ni kisonko
[Chorus]
Anapiga pic ndani ya nyumba, na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba, tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune, nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba, na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba, tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune, nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
[Verse 7]
Yoh manze hepa si watu wanabreak up
Ah cheki mamaz naskia tifi
Umekuwa nditni zishike ukose usingizi
BuruBuru niko ngwethelize na wazingting
Mratish na mangeus jo ni party jo
On a Monday nipate jaba na mashash
Twende Tuesday nipate na ule matha tukidance
[Verse 8]
Fika Wednesday nikiroll tu mashash
Thursday nipate party na Friday kazoze
Si uongo tulipataa soko
Anakam juu ya mangoto, anadai ye ni poko
[Verse 9]
Na bado siamini amekuja na mawhiskey
Anadai twende missing, twende Eastleigh Mzee Ali cash money
Nipate na kimali umedungia mali safi
Na ghetto ka ni bani unabakishwa na shati
Namba nane, nipate baze tano nane, 12'Oclock juu ya sana
[Chorus]
Anapiga pic ndani ya nyumba, na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba, tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune, nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba, na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba, tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune, nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
Written by: YBW Smith
instagramSharePathic_arrow_out