Music Video

Essence of Worship - Tunaleta Sifa (Official Music Video)
Watch Essence of Worship - Tunaleta Sifa (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Essence of Worship
Essence of Worship
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Essence of Worship
Essence of Worship
Songwriter

Lyrics

Wewe ni Mungu, hakuna mwingine
Wa kuabudiwa
Unastahili sifa zote, wewe ni Bwana aah
Wewe ni Mungu, hakuna mwingine
Wa kuabudiwa
Unastahili sifa zote, wewe ni Bwana aah
[Verse 1]
Wewe ni Mungu, hakuna mwingine
Wa kuabudiwa
Unastahili sifa zote, wewe ni Bwana aah
Wewe ni Mungu, hakuna mwingine
Wa kuabudiwa
Unastahili sifa zote, wewe ni Bwana aah
[Chorus]
Tunaleta sifa zetu kwako maana wewe ndiwe Mungu mkuu
Tunaleta sifa zetu kwako Bwana

[Verse 2]
Usifiwe Yahweh, usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh, usifiwe Yahweh
[Verse 3]
Kazi yako ya msalaba umenifanya kuwa salama
Usifwe Yahweh
Upendo wako wa pekee umenifanya niendelee Bwana
Usifiwe Yahweh
[Chorus]
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
[Chorus]
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
[Chorus]
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
[Chorus]
Halleluyah Yahweh
Halleluyah Yahweh
Halleluyah Yahweh
Halleluyah Yahweh
[Chorus]
Halleluyah Yahweh
Halleluyah Yahweh
Halleluyah Yahweh
Halleluyah Yahweh
[Chorus]
Wastahili Yahweh
Wastahili Yahweh
Wastahili Yahweh
Wastahili Yahweh
[Chorus]
Tunaleta sifa zetu kwako maana wewe ndiwe Mungu mkuu
Tunaleta sifa zetu kwako Bwana
Tunaleta sifa zetu kwako maana wewe ndiwe Mungu mkuu
Tunaleta sifa zetu kwako Bwana
[Chorus]
Tunaleta sifa zetu kwako maana wewe ndiwe Mungu mkuu
Tunaleta sifa zetu kwako Bwana
Written by: Essence of Worship
instagramSharePathic_arrow_out