Music Video

Godwill Babette - Neno Lako (Official Video) Sms SKIZA 5707808 TO 811
Watch Godwill Babette - Neno Lako (Official Video) Sms SKIZA 5707808 TO 811 on YouTube

Featured In

Lyrics

Hallelujah, amen
Halleluya, amen
Lime-inu, limeinuliwa neno lako
Oh-oh-oh, kama vile jana
Lina nguvu leo na milele
Lime-inu, limeinuliwa neno lako
Oh-oh-oh, kama vile jana
Lina nguvu leo na milele
Oh-oh-oh, kama vile jana
Lina nguvu leo na milele
Linazidi nguvu kuta za Yeriko
Lina amuru maji kutoka mawe jangwani
Neno lako limeinuliwa
Limebeba neema ya waliosaulika
Inajibu maombi iliyopita kutarajiwa
Neno lako umesema
Halleluya, amen oh-oh...
Kama vile jana
Lina nguvu leo na milele
Lime-inu, limeinuliwa neno lako
Oh-oh-oh, kama vile jana
Lina nguvu leo na milele
Lime-inu, limeinuliwa neno lako
Oh-oh-oh, kama vile jana
Lina nguvu leo na milele
Linazidi nguvu kuta za Yeriko
Linaamuru mawe, maji toka jangwani
Hili neno lako, eh, limeinuliwa
Limebeba neema ya waliosaulika
Linajibu maombi iliyopita kutarajiwa
Neno lako, limeinuliwa (umesema)
Unasema, unatenda
Tutazame, tukusifu
Oh-oh, oh-oh, oh, eh-eh-eh
Unasema, unatenda
Tutazame, tukusifu, oh...
Unasema, unatenda
Tutazame, tukusifu, lime
Lime-inu, limeinuliwa neno lako
Oh-oh-oh, kama vile jana
Lina nguvu leo na milele
Lime-inu, limeinuliwa neno lako
Oh-oh-oh, kama vile jana
Lina nguvu leo na milele
Oh-oh-oh, kama vile jana
Lina nguvu leo na milele
Oh-oh-oh, kama vile jana
Lina nguvu leo na milele
Written by: A
instagramSharePathic_arrow_out