Top Songs By Neimm
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Neimm
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Neema Alfred
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafeeling
Executive Producer
Lyrics
Na Na Na Naa Na Na Na
Pole Pole
Pole Pole
Mmmh!
Twende Pole Pole baby
Hii dunia ina mengi!
Nilipotoka mateso majanga
Nivumilie
Mimi huyu nishakutana na vingi chonde usininunie
Kuna muda sina mood, usiwaze sikupendi, nisubirie
We umekuja kutibu, Mungu kakuleta
Ndo nafuu yangu
La kwako linanisibu shida yaliyopita yaliacha maumivu
Oh baby
Pole Pole
Pole Pole
Pole Pole
Pole Pole
Music Break
Oh Yeah
Kizazi mama umeshanielewa
Ndo, salama
Sitawaza mambo mengi wala
Kukuweka mbali (ah)
Sheli nawasha fegi mie, niombe nini nisipewe
Haswa umeniweka sawa
Nimeshapiga start, gari nimeshapaki yaani
Sare Sare
Hata wanivute shati nachagua kubaki
Naanza, Kuzama
Msiniokoe chonde, Mvuvi nafia mtoni
Ayaya!
We umekuja kutibu, Mungu kakuleta
Ndo nafuu yangu
La kwako linanisibu shida yaliyopita yaliacha maumivu
Oh baby
Pole Pole
Pole Pole
Pole Pole
Pole Pole
Written by: Neema Alfred