Top Songs By Christian Bella
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Christian Bella
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christian Bella
Songwriter
Lyrics
Nimetafuta wa kulinganisha Nawe
Nimegundua kumbe we ni wakipekee
Kwa uzuri wako ingekua amri yangu
Ningekuweka uwe kivutio cha taifa
Hivi mungu amekuomba kwa udongo gani
Mrembu na tabia nzuri kumbe we ni wakipekee
Wewe ndiye nuru yangu kipenzi
Usiku kucha Mpenzi wanimulikia
MA cherie mon amour sijutii kukufahamu
Nakupenda wewe kipenzi
Chonde chonde mpenzi usijeniacha solemba
Ma cherie mon amour sijutii kukufahamu
Sijui mpenzi nikufananishe na nini
Thamani yako ni zaidi ya madini
Sijali maneno mi nishakupenda
Naufunga moyo kwako nimeshafika
Naunipe naunipe tena kila kukicha
Mpenzi utaniua utaniua
Naomba mungu atulinde tusije kuachana
Nitapata wapi kama we
Unavyo niweza umenionyesha
Umenituliza mama
Ujawai niacha mpweke kipenzi
Kwenye shida na raha unanienzi baby
Nitakulinda ntakutunza ntakupambania
Mapenzi yamenizidi kwako siwezi zuia
Sijui mpenzi nikufananishe na nini
Thamani yako ni zaidi ya madini
Sijali maneno mi nishakupenda
Naufunga moyo kwako nimeshafika
Naunipe naunipe tena kila kukicha
Mpenzi utaniua utaniua
We ndiyo yangu fahari nakupenda
Sauti yako ya mahaba unanimaliza
Baby sijui niseme nini maneno aitoshi kujieleza
Sina kikubwa chakukupatia zaidi yakukupa sifa zako
MA cherie yeyeye
We ni mrembo
Na Lela yo yeyeye nga
Na craqua yo yeyeye
Sijui mpenzi nikufananishe na nini
Thamani yako ni zaidi ya madini
Sijali maneno mi nishakupenda
Naufunga moyo kwako nimeshafika
Naunipe naunipe tena kila kukicha
Mpenzi utaniua utaniua
Written by: Christian Bella