Top Songs By Christian Bella
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Christian Bella
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christian Bella
Songwriter
Lyrics
Jamani ex wangu eh
Eti kapata pesa ananisumbua
Natamani kujificha
Akinikuta bar bili analipa na alivio na misifa
Anaona raha kunidhalilisha ataniua na mi presha
Akiniona na watu aishi kunipa ushauri wa maisha
Eti tafuta pesa mapenzi yaukweli bila pesa uwezi kuyapata
Aaan Mbona hatukuacha kwa ubaya mwenzangu
Sasa kwanini ananisema vibaya jamani
Akumbuki hata mema yangu ata kidogo mama
Mwenzenu kwa kirumi mbona ninaisoma number
Toka apate hela sikuizi aendi coco kawa wa moto
Ana vaa vitu vya bei anapiga photo uko Tik tok
Eti ananitoa nishai mara sina kitu
Anajikuta kafika
Anasahau maisha ni kupanda na kushuka
Shauri yako Shauri yako eeh
Shauri yako shauri yako eh
Shauri uwezi kunishaushi mama
Siwezi iba mali mama
Dhambi kwa mungu baba yo
Siwezi tamani vya watu
Dhambi kwa mungu baba yo
Shauri yako shauri yako eh
Shauri yako shauri yako eh
Alivo toka kwangu imemwakia nyota
Acheni aji posti
Kwanini anganganie fungo la kukosa
Uyu shoga yenu vipi
Nimefanya utafiti kwenye moyo wake bado nipo
Ndomana vijembe havihishi kaumisi moto uko aliko
Kwenye moyo nilikupa kiti ilaukashindwa kuni enzi
Utu wangu ukujali na mi ku forsi mapenzi siwezi
Bora nitulie eeeh
Mwenzenu kwa kirumi mbona ninaisoma number
Toka apate hela sikuizi aendi coco kawa wa moto
Ana vaa vitu vya bei anapiga photo uko Tik tok
Eti ananitoa nishai mara sina kitu anajikuta kafika
Anasahau maisha ni kupanda na kushuka
Shauri yako Shauri yako eeh
Shauri yako shauri yako eh
Shauri uwezi kunishaushi mama
Siwezi iba mali mama
Dhambi kwa mungu baba yo
Siwezi tamani vya watu
Dhambi kwa mungu baba yo
Shauri yako shauri yako eh
Shauri yako shauri yako eh
Written by: Christian Bella