Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Imuh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Mwambogoso
Songwriter
Lyrics
Onana nana nana e
Imuh
Skuizi asiponipigia nanuna nakesha nasubiri sim yake
Tabasama mwanana
Hata nikiona mesej zake
Sijui nishaanza kumpenda
Mbona sielewi sielewi
Mana kutwa namuwaza
Bila sauti yake silali
Naangamia mwenzenu
Nishapenda tena
Nikimuwaza natabasam
Ananichanganya ee
Ooh ooh
Nahisi nimependa
Na feel nimependa tena aaah
Nahisi nimependa
Niombeeni nitoke salama ee
Nahisi nimependa
Mmmh nimependa ee
Nahisi nimependa
Oooh oooh
Nimependa eeh
Ooh ooh
Nikimuona mwili wantetemeka nguvu zaniisha
Akinitazama ndo kabsa nahisi kufa kufa
Natamani mapenzi yake nipate
Ila siwezi sema mi nataka ye ndo anaifate
Aseme atanipenda penda
Aseme atanilinda linda
Aseme ataniganda ganda
We kama wangu ruba
Naangamia mwenzenu
Nishapenda tena
Nikimuwaza natabasam
Ananichanganya ee
Ooh ooh
Nahisi nimependa
Na feel nimependa tena aaah
Nahisi nimependa
Niombeeni nitoke salama ee
Nahisi nimependa
Mmmh nimependa ee
Nahisi nimependa
Oooh oooh
Nimependa eeh
Ooh ooh
Written by: Ibrahim Mwambogoso