Similar Songs
Lyrics
[Verse 1]
Kile uliambiwa ni kweli
Me hushindanga sherehe on a daily
Ndio maana introverts hawanipendi
Kujibonga ndio inaleta wasupa wengi
[Verse 2]
Wananiita papito, papito mastingo, mastingo ni za kimandingo
Natoka klabu wa mwisho, wa mwisho kwa mfuko ni zero lawama ni ya kesho
El Capitan, napenda uasherati
Na warembo mali sa, na warembo mali safi
[Verse 3]
Mwili imechoka lakini bado ninagotha
Anarombosa ni mi nawashow hana ngotha
Ni dame wa umoja na ameomoka
Si tuko mavitu na tunazozaa
[Chorus]
Washa kishada, kama uko nervous
Twanga kijaba, usijelala
Kuna walevi wamekuja wamenyanya
Akina dada wanataka biringanya
Ndio sherehe imeanza
Ndio sherehe imeanza
Kwa sherehe utatupata
Kwa sherehe utatupata
[Refrain]
Aah, aah
Aah, aah
Aah, aah
Aah, aah
[Verse 4]
Tukifika kwenye party
Statement ya kifahari
Marashi za bei ghali
Dior na maversace
[Verse 5]
Chini piga nikey (Just do it)
Na pamba safi
Wrist na shingo ziwe icy
Sub zero fatality, eeh
[Verse 6]
Ndo kumalo ndo kudonjo kwenye sheree
Style ni deadly-deadly, kila mtu na mbeibee
Dejay ongeza tena speaker ziheme
Watu wacheze, kuna rambo na ndiambo
We shika wako, kila mtu obrigado
[Verse 7]
Kuma thum ochopo ko’wamiela miela nyere
Kineno ka iro dung mano koro iriembo jochiende
Eeh, kodong kodong,
Eeh, ko ko kodong
[Verse 8]
Washa kishada, kama uko nervous
Twanga kijaba, usije lala
Kuna walevi wamekuja wamenyanya
Akina dada wanataka biringanya
[Chorus]
Ndio sherehe imeanza
Ndio sherehe imeanza
Kwa sherehe utatupata
Kwa sherehe utatupata
[Refrain]
Aah aah
Aah aah
Aah aah
Aah aah
Written by: Eugine Ywaya, Fidel Shammah, julius mcrymboh