Lyrics

Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Baba Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, (Instrumental) Mara nyingi shida yasumbua moyoni, Mwanadamu huogopa na kunung'unika, juu ya nini Mungu ameniacha lakini Bwana Yesu ni mwaminifu sana, lakini Bwana Yesu ni mwaminifu sana. Inua Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Bwana Yesu Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Baba Inua Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Instrumental Jipe moyo Mwanadamu Bwana Yesu anakuona, anajua unapolala na unapoamkaaaa Akiwa upande wako nani atakuwa juu yako... usiwe na wasiwasi linda imani yako, usiwe na wasiwasi linda imani yako. Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Bwana Yesu Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Yesu Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, (Instrumental) Kwa mganga wa kienyeji hakuna jibu lolote, katika shida zangu na matatizo yangu, Neno la Mungu lasema barikiwa mtu yule anayemtumaini Mungu Baba Mwenyezi, anayemtumaini Mungu Baba Mwenyezi... Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Bwana Yesu Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Bwana Yesu Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, (Instrumental) Baba Inua Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Baba Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Natamani kuzungumza na wewe. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe, Mimi nakuhitaji... Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe Bwana Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe Bwana Yesu inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe
Writer(s): Angela Chibalonza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out