Top Songs By L'orchestra Super Mazembe
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Orchestra Super Mazembe
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Tandi Kumalo
Composer
Lyrics
Bwana nipe pesa, watoto wana njaa, lakini mke wako, anapenda kutangatanga
Hata majirani walichoka kumwona, wawa husema fungeni milango anakuja

Watu wote wa Nairobi, wakuona kila siku, kuingia nyumba zote, zaachanga kali sana
Tafadhali bwana rudi, watoto wanalia, sababu mke wako, ashazoea kutangatanga
Sasa majirani walichoka kumwona, wawa husema fungeni milango anakuja
Bwana nipe pesa, watoto wana njaa, lakini mke wako, anapenda kutangatanga
Hata majirani walichoka kumwona, wawa husema fungeni milango anakuja
Bwana nipe pesa, watoto wanalia, lakini mke wako, anapenda kutangatanga
Sasa majirani walichoka kumwona, wawa husema fungeni milango anakuja
Watu wote wa Mombasa, wakuona kila siku, kuingia nyumba zote, zaachanga kali sana
Tafadhali bwana rudi, watoto wanalia, sababu mke wako, ashazoea kutangatanga
Hata majirani walichoka kumwona, wawa husema fungeni milango anakuja
Wawa husema fungeni milango anakuja, wawa kusema fungeni milango anakuja
Written by: Tandi Kumalo