Top Songs By Wiz Dandu
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Wiz Dandu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Amos Dandu
Songwriter
Lyrics
Sio yako yako peke yako)×4
Tulia ngoja nikwambie,
Kama jina nalo niambie ,
Tena usinitanie,
Uduma natoaga mie ,
Weeehhh
Si umekula vya kwangu ,
Pesa za kwangu,
Akuna kulala,
Ilo wigi pesa yangu ,
Pochi yangu ,
Akuna kulala ,
Unijui siku jui ,
Tusha kuwa maadui,
Unitambui,
Sikutambui,
Tusha kuwa maadui ,
Kama uzuri anao hata mbuzi,
We si kiburi nakuchana Kama ujui,
Na Leo sitoki (ndani )×3
Na Leo sitoki (ndani )×3
Na Leo sitoki ndani,
(Sio yako yako peke yako)×4
Si unajiona mzuri sana,
Asa Leo sikwepeshi,
Ka una bisha ubishe,
Una kauli za ujana,
Yani Leo ndo ukweli,
Nimetoka misele misele ,
Unaonekana kama vile,
Unanipanda kichwani,
Na izo sifa zako Leo nitakupa,
Ile kitu WiFi,
I we popote au dar,
Maana kila siku ulikuwa,
Una niletea ugai gai,
Kelele nyingi sherukhani,
Kumbe Huna kitu ni mavitu,
Nitakutoa nishai,
Si ulijiona mzuri sana,
Asa Leo sikwepeshi,
Ka una bisha ubishe,
Una kauli za ujana,
Jana Jana janata,
Asa Leo ndo ukweli nimetoka, misele miselee,
Kama uzuri anao hata mbuzi,
We si kiburi nakuchana Kama ujui,
Na Leo sitoki (ndani )×4
Na Leo sitoki (ndani )×4
Na Leo sitoki ndani,
Aaa chino wana man,
Hallooo,
(Sio yako yako peke yako)×4
Written by: Amos Dandu