Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mr. Nobody Tz
Mr. Nobody Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Noel Visent
Noel Visent
Songwriter

Lyrics

Sun v on the beat
Ehee Nyokaaa
Aah Mr Nobody
Hiii
Hata Leo nikiachwa
Siwezi kuwa single
Leo nikiachwa
Siwez kuwa single
Hata Leo ukiniacha
Siwez kuwa single
Leo ukiniacha
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Kila siku mbona unanitisha
Eti siwezi pata kama wewe
Na mapepo unapandisha nimechoka hizo makelele
Mavurugu yasoisha usinifuatilie hebu wewe
Kama penzi limeshaisha usinivungie niambie
Eti utaniacha usinitishe we Kwan unaonaje
Weee
Iyo simu acha usiiguse we sitaki makelele
Weee
Eti utaniacha usinitishe we
Kwan unanionaje
Wee
Iyo simu acha usiiguse we staki ujinyonge
Hata Leo nikiachwa
Siwezi kuwa single
Leo nikiachwa
Siwez kuwa single
Hata Leo ukiniacha
Siwez kuwa single
Leo ukiniacha
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Hivi nani kakuambia sijiwezi
Kuniendesha asilani hauwezi
Kuwa mpole ka ngamia acha uchizi
Kama umeshindwa kutulia pita hivi
Kukuambia nakupenda
Haimaanishi siwezi bila wewe
Kama mwingine ukimpenda
Usijizuie we pita nae
Kukuambia nakupenda
Haimaanishi siwezi bila wewe
Kama mwingine ukimpenda
Usijizuie we pita na
Hata Leo nikiachwa
Siwezi kuwa single
Leo nikiachwa
Siwez kuwa single
Hata Leo ukiniacha
Siwez kuwa single
Leo ukiniacha
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Siwez kuwa single
Mix boe
Written by: Noel Visent
instagramSharePathic_arrow_out