Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Prince brayban
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Prince brayban
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Penzi halimei kwenye matope
Linamea palipo moyo mzuri
Kwenye shida my tuwe wote
Tupendane kama fahi na chui
[Verse 2]
Aku! Sikatai we niroge
Ila kwako niwe peke yangu
Tupatane kijani tuomoke
Nivumilie madhaifu yangu
[Verse 3]
Haki ya mungu walahi baby buuh
Penzi halitaota mkia
Wanaotaka kupima tunapendana
Watajua wenyewe
[Verse 4]
Natoka Dar es Salama kwa miguu
Kuja tu kukusalimia
Huko ndani ndani ushago
Mpaka unielewe
[Chorus]
Nachokupendea uko simple
Huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simple
Huna mambo mengi uko simpo
[Chorus]
Nachokupendea uko simple
Huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simple
Huna mambo mengi uko simpo
[Bridge]
Babe iih (Senjee)
Tell me (What shall we do)
Babe ih (Senjee)
Tell me (What shall we do)
[Verse 5]
Hauvai mawigi, haunywagi mipombe
Haupaki makeup wala maskala
Shape kienyeji, wewe ni promax
Hauvuti mishisha wala sigara
[Verse 6]
Wewe sio Zuwena wa Diamond
Wala Salima wa Linex
Tuwe kama Julietha na Romio
Tupendane vya ndanindani ooh!
[Verse 7]
Niko radhi ka shamba niweke bond
Ili tu nisikukose
Tuwe kama Julietha na Romio
Tupendane vya ndanindani ooh!
[Chorus]
Nachokupendea uko simple (Mpenzi wangu uko simpo)
Huna mambo mengi uko simple (Hauvai vikuku)
Baby we uko simple (Sio mtu wa bata)
Huna mambo mengi uko simpo (Mmh eeh!)
[Chorus]
Nachokupendea uko simple
Huna mambo mengi uko simple (Mmh eeh!)
Baby we uko simple
Huna mambo mengi uko simpo
[Outro]
Babe iih (Senjee)
Tell me (What shall we do)
Babe ih (Senjee)
Tell me (What shall we do)
Written by: Prince brayban