Top Songs By N'Jiru
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
N'Jiru
Performer
Chevy Kev
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kevin Kariuki Kahariri
Composer
Ivy Wanja Njiru
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Lukxorito
Producer
Lyrics
[Chorus]
Naeza tell e-love imefika
Naeza tell hii gin imeshika
Naeza tell hizi feelings zimekachiwa
Na staki kukupima
[Chorus]
Naeza tell hii love imefika
Naeza tell hii gin imeshika
Naeza tell hizi feelings zimekachiwa
Na staki kukupima
[Refrain]
Karibia uniwekele kidumper
Njeve ni mob nikuwekele kijumper
Ki GPS wapi naweza kupata
Mali ni fresh bombshell bombshell ah
Karibia uniwekele kidumper
Njeve ni mob nikuwekele kijumper
Ki GPS wapi naweza kupata
Mali ni fresh bombshell bombshell ah
[Verse 1]
Hesitate siwezi but talking stage
Imekaa sana you lazy
Sa na retrace back steps with Tracy
Analyse emoji time ya kureply
Siezi unsend zile dm nilislide
[Verse 2]
Ilikuwa birthday yako nyako, nika suggest coffee
Nikaongezea drinks na kusosi
Tukaongea life
Alafu nikapotea in your eyes
[Chorus]
Naeza tell e-love imefika
Naeza tell hii gin imeshika
Naeza tell hizi feelings zimekachiwa
Na staki kukupima
[Chorus]
Naeza tell hii love imefika
Naeza tell hii gin imeshika
Naeza tell hizi feelings zimekachiwa
Na staki kukupima
[Refrain]
Karibia uniwekele kidumper
Njeve ni mob nikuwekele kijumper
Ki GPS wapi naweza kupata
Mali ni fresh bombshell bombshell ah
Karibia uniwekele kidumper
Njeve ni mob nikuwekele kijumper
Ki GPS wapi naweza kupata
Mali ni fresh bombshell bombshell ah
[Refrain]
Karibia uniwekele kidumper
Njeve ni mob nikuwekele kijumper
Ki GPS wapi naweza kupata
Mali ni fresh bombshell bombshell ah
[Refrain]
Karibia uniwekele kidumper
Njeve ni mob nikuwekele kijumper
Ki GPS wapi naweza kupata
Mali ni fresh bombshell bombshell ah
Written by: Ivy Wanja Njiru, Kevin Kariuki Kahariri