Credits

COMPOSITION & LYRICS
Andrew Otieno
Andrew Otieno
Songwriter
Margaret Akoth
Margaret Akoth
Songwriter
GLORIA MUNGA
GLORIA MUNGA
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wuod Omollo
Wuod Omollo
Producer

Lyrics

[Verse 1]
How long did you, wait, crave for me
Did you ever pray for me
Did you need my love
Or did you have another
[Verse 2]
Huyo ni nani anaogea bafu yangu
Aibu gani, aibu gani
Huyo ni nani, anailamba sukari yangu
Aibu gani, aibu gani
[Refrain]
Umenitafuta we, unanitafuta
Umenitafuta we, unanitafuta
Umenitafuta we, unanitafuta
Umenitafuta we, unanitafuta
[Chorus]
Umenitafuta umenipata
Nimekasirika utaitana yo yo yo
Touch your toes, nipee kiboko
Utaitana leo utaitana
[Chorus]
We mzee, umenitafuta umenipata
Nimekasirika utaitana yo yo yo
Touch your toes, nipee kiboko
Utaitana leo utaitana
[Verse 3]
Mi sio fala unachokitafuta utapata
Ujue sio wote wapole, ukicheza nitakutia ma
Mara hivi hupatikani, you gotta go I'm all alone
Sio siri tuko squad, tuko mbogi, tumejaa on your phone
[Verse 4]
Sio wote ni wapole
Wewe ni funzo kwa wote
Utaitana ooh
[Verse 5]
Three times, two times, played me like a fool
Man these guys wanakuanga na uduu
Hukufunzwa na mzazi, I should take you back to school
Men can lie got me asking like, why, got me asking like why
Men can like got me asking like
Why
[Chorus]
Umenitafuta umenipata
Nimekasirika utaitana yo yo yo
Touch your toes, nipee kiboko
Utaitana leo utaitana
[Chorus]
We mzee, umenitafuta umenipata
Nimekasirika utaitana yo yo yo
Touch your toes, nipee kiboko
Utaitana leo utaitana
Written by: Andrew Otieno, GLORIA MUNGA, Margaret Akoth
instagramSharePathic_arrow_out