Music Video

Jaivah x Marioo - Buruda (Official Visualizer)
Watch Jaivah x Marioo - Buruda (Official Visualizer) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jaivah
Jaivah
Lead Vocals
Marioo
Marioo
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Jaivah
Jaivah
Songwriter
Sebastian Charles Mwinula
Sebastian Charles Mwinula
Songwriter
Omary Ally Mwanga
Omary Ally Mwanga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Cloudy Sa
Cloudy Sa
Producer
J-Lens Musiq
J-Lens Musiq
Producer

Lyrics

[Intro]
Mmh baad
Aweeh, igama lami ngu-Jaivah wena
Aweeh, aweeh
Aweeh
Jaivah
[Verse 1]
Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia akijitusu natembeza
Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia akijitusu natembeza
[Verse 2]
Nikamwambia mitungi buruda
Washa hata kitu buruda
Na kama sio kesi na kama upo freshi
Hapa hata mikasi buruda
Nikamwambia mitungi buruda
Washa hata kitu buruda
Na kama sio kesi na kama upo freshi
Hapa hata mikasi buruda
[Verse 3]
(Akaniuliza) Nani jina lako
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-striker
[Verse 4]
(Akaniuliza) Ubani igama lakho
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-Striker
[PreChorus]
Si mtoto alivyoona venye nimepoa (Alivyoona venye nimepoa)
Ye akanichukulia poa (Ye akanichulia poa)
Na mwanenu nnavyojua kukomoa (Na mwanenu nnavyojua kukomoa)
Nakuwaga kama natafuta ndoa (Nakuwaga kama natafuta ndoa)
[Chorus]
Nauliza niendelee niache (Kwanini uache kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee niache (Kwanini uache kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
[Bridge]
Alooh
Limenibana kojo, kojo-kojoo (Kojo, kojo-kojoo)
Kojo, kojo-kojoo (Kojo, kojo-kojoo)
Nimelewa sioni mbele sioni nyuma, sioni juu
Sioni chini tundu liko wapi (La choo)
[Verse 5]
Sioni mundu sioni kijema
Kwani njia iko wapi (Ya chooni)
Kama nawakwaza semeni (Hautukwazi tajiri)
Kama nawaboa semeni (Hautuboi tajiri)
Kama nina gubu semeni (Hauna gubu tajiri)
Kama ninabaya semeni (Hauna baya tajiri)
[Verse 6]
Shiih, leo DJ nani chapa ngoma ya Zuchu (Honey)
Anapiga nani hebu ngoja nipokee, aloo
Hey baby please come back home please I need you now
Kumbe shemeji lenu anataka nirudi home, au ninyi mnasemaje
[Chorus]
Nauliza niendelee niache (Kwanini uache kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee niache (Kwanini uache kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee niache (Kwanini uache kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee niache (Kwanini uache kama umelianzisha twende mpaka asubuhi)
[Outro]
Limenibana kojo, kojo-kojoo (Kojo, kojo-kojoo
Written by: Jaivah, Omary Ally Mwanga, Sebastian Charles Mwinula
instagramSharePathic_arrow_out