Top Songs By Bytar Beast
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Bytar Beast
Performer
Marioo
Performer
Jaivah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bytar Beast
Composer
Marioo
Composer
Jaivah
Composer
Jay Music
Composer
Scotty London
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Jay Music
Producer
Scotty London
Producer
A-Jay
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Kukikandisa
Abbah
Mmhh
Badii (Jaivah)
Aloo (Shii)
[Verse 2]
Heh, kama we mzurii
Tutumie pichaa
Ukiwa unakata gogoo
Tuone uzuri wakoo
[Verse 3]
Heh, kama we mzurii
Tuma video
Ukiwa unakata gogoo
Tuone uzuri wakoo
[Verse 4]
Punguza pekete pekete te pekete, pekete
Mwenye hela hasemi we pesa inaongea
Acha pekete pekete te pekete, pekete
Aah mwenye hela habwabwaji pesa inaongea (Alooh mmh)
[Verse 5]
Tukitaka letu tunaweza (Tumejipata)
Mweupe muluge mweupe (Tumejipataa)
Tukitaka letu tunaweza tumejipata
Oyah Jaivah sema nao tunataka nini (Shuu)
[Chorus]
Sisi tunataka ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe
Uno ndembe ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe

Uno ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe

Uno ndembe ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe

[Bridge]
(Mamaaa) ayee, ayee, ayee, ayee, ayee, ayee, ayee, ayee

[Verse 6]
Mazee kama nyama imekwiva peana
Kama inakubanabana peana
Asa kitu ifichiki hata ikiwa kwenye dera (Tunaiona iyoo)
Kama nyama imenona peana
Kama ikiwa kubwa sana peana
Sasa kitu haifichiki hata ikiwa kwenye pensi (Tunaiona hiyoo)
[Verse 7]
Watoto wazuri wazuri wamebarikiwa
Kama hawaendi hawaendi hawaendi (Maliwato)
Watoto wazuri, wazuri wamebarikiwa
Kama hawaendi hawaendi hawaendi (Maliwato)
[Verse 8]
Kuna wengine wana big nyash
Kuna wengine wana flat screen
Kuna wengine wana viuno vigumu
Kuna wengine wana viuno vilaini
[Verse 9]
Kuna wengine wana big nyash
Kuna wengine wana flat screen
Kuna wengine wana viuno vigumu
Kuna wengine wana viuno vilaini
[Chorus]
Sisi tunataka ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe
Uno ndembe ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe
Uno ndembe ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe
Uno ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe
Sisi tunataka ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe
Uno ndembe ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe
Uno ndembe ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe
Uno ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe, ndembe
[Outro]
(Mamaaa) ayee, ayee, ayee, ayee, ayee, ayee, ayee, ayee
(Mamaaa) ayee, ayee, ayee, ayee, ayee, ayee, ayee, ayee
Written by: Bytar Beast, Jaivah, Jay Music, Marioo, Scotty London