Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Kwenye maisha haya simjui nani ni nani
Anaenitakia mabaya au anaeniombea mazuri
Kuna wanaonichekea kumbe ndani hawanikubali
Wanataka kunitegea mitego nipotelee mbali
[Refrain]
Siwezi kuwaona kwa macho ya nyama ni ngumu kweli
Nakuhitaji eeh Baba ili niwe salama Mungu wa kweli
[Verse 2]
Naomba Mungu unilinde
Uniepushe na mabaya
Wanayoyapanga yasinipate
Niwe salama
[Verse 3]
Naomba Mungu unilinde
Uniepushe na mabaya
Wanayoyapanga yasinipate
Niwe salama
[Chorus]
Niwe salama, niwe salama
Wanayoyapanga yasinipate, niwe salama
Niwe salama, niwe salama
Wanayoyapanga yasinipate, niwe salama
[Verse 4]
Shida moyo hauna kioo ningewaona ndani
Mawazo ya mwanadamu ni kama nene pori
Bila mkono wako sitaweza wala sitoboi
Kama moto ndivyo ziwakavyo hasira zao adui
[Refrain]
Siwezi kuwaona kwa macho ya nyama ni ngumu kweli
Nakuhitaji eeh Baba ili niwe salama Mungu wa kweli
[PreChorus]
Naomba Mungu unilinde
Uniepushe na mabaya
Wanayoyapanga yasinipate
Niwe salama
[PreChorus]
Naomba Mungu unilinde
Uniepushe na mabaya
Wanayoyapanga yasinipate
Niwe salama
[Chorus]
Niwe salama, niwe salama
Wanayoyapanga yasinipate, niwe salama
Niwe salama, niwe salama
Wanayoyapanga yasinipate, niwe salama
[Chorus]
Niwe salama, niwe salama
Wanayoyapanga yasinipate, niwe salama
[Refrain]
Bila wewe sitaweza, wewe salama yangu
Bila wewe watanimeza wewe, salama yangu
Bila wewe sitaweza, wewe salama yangu
Bila wewe watanimeza, wewe salama yangu
[Refrain]
Bila wewe sitaweza, wewe salama yangu
Bila wewe watanimeza wewe, salama yangu
Bila wewe sitaweza, wewe salama yangu
Bila wewe watanimeza, wewe salama yangu
[Outro]
Niwe salama, mimi niwe salama
Wanayoyapanga yasinipate, niwe salama
Written by: Joel Lwaga
instagramSharePathic_arrow_out